Elections 2010 Unamuunga mkono Dr. Slaa kugombea URAIS mwaka 2010? Jiandikishe hapa

Elections 2010 Unamuunga mkono Dr. Slaa kugombea URAIS mwaka 2010? Jiandikishe hapa

Wandugu wapendwa, hii nyimbo bado inaendelea. Tujitokeze kwa wingi maana kama si wewe na mimi unafikiri mabadiliko Tanzania yatatokea?
Tujiandikishe kwa wingi...................................
 
Mpigafilimbi
Mpigafilimbi na familia yake....bado juhudi zinaendela kuushawishi ukoo wake pia
 
Wakuu msifikiri ni mzaha tunapiga porojo tu...Ila ni wazo zima la chama cha Upinzani kusimamisha mtu ambaye tuna matumaini naye. Kijiwe hiki kinaaminika sana kama ni kijiwe cha WASOMI kina nyie ambao mnatakiwa kuandikisha majina yenu kama wito wakumtaka Dr. Slaa asimame kugombea. Ni mjumuiko wa matakwa yenu tundiyo yanaweza kumvuta Dr.Slaa kufikiria kugombea kwani hadi sasa hivi hatuna mtu wa kumtegemea zaidi ya Dr.Slaa - HAKUNA.
Hivyo kujiandikisha tu kuomba DR.Slaa agombee kiti hiki ni hatua moja ya kuthibiti kura yako, laa sivyo unajitenga nasi na kutaka CCM isiwe na mshindani hasa ktk kiti cha Urais. Tunajua CCM watajipanga kumwangusha lakini pia nasi tutakuwa imara nyuma ya kiongozi mmoja ambaye ndiye tunamkubali..Kinyume cha hapo tupeni jina jingine ambalo wasomi mnalipitisha zaidi ya huyu Dr.Slaa...
 
Mkumbo,

Maneno mazito sana kwa wale wanaofikiri UKUTA WA BARLIN UTAKUWEPO MILELE. Ilihitajika kubadili Rais ili kuvunja na si BUNGE.

Tunakusubirini wengine wengi mnaoamini kuwa Dr. Slaa anafaa. Ukisema unasubiri kesho, huo ni uvivu hasa wa Kiafrica. Nyerere angelisubiri kesho basi tusingelipata kitu. Yeye na wenzake walipoona Ulaya iko hoi baada ya kupigana vita ya II ya dunia, waliona time is now.
Don't underestimate the people, JK is beatable!!
 
Haya haya tena, siku mpya na kampeni inaendelea. Njooni mjitokeze kwa wingi jamani. Watu wengi hulalamika pembeni ila ikifika kwenye kufanya maamuzi basi wanabaki kushikilia walichonacho.

NI RAHISI DR. SLAA KUSHINDA TANZANIA KULIKO OBAMA KUSHINDA MAREKANI. OBAMA ALISEMA NA AKAFANYA KWELI. "YES WE CAN".
 
Dr slaaa big up sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Ila hata kama Dr Slaa hatagombea uraisi naamini Chadema watasimamisha Mtu Makini sana Believe or not..................................................................KIMYA kikuu kina Mshindo Mkubwa.... We Ngojeni muone
 
Ila hata kama Dr Slaa hatagombea uraisi naamini Chadema watasimamisha Mtu Makini sana Believe or not..................................................................KIMYA kikuu kina Mshindo Mkubwa.... We Ngojeni muone

Jamani jamani. Muda unakwenda na sisi kimya kabisa. Usisubiri mwaka 2015, muda wa mabadiliko ni huu sasa.
 
MJM

Mimi pia naunga mkono agombee nitampa support ya kura yangu, tayari mama yangu amekubali, Mke wangu yuko pamoja nami, Kaka zangu wawili wamekubali. Hawa wote uhakika. Bado nitaokoteza pia kuna marafiki kibao wameniambia hawamtaki JK na CCM yake hivyo hii kwao pia ni Option
 
Dr Slaa anafaa sana, lakini nafikiri wakati si muafaka kwake yeye wala kwa mpinzani yeyote yule kwa sababu nafasi ya kushinda ni ndogo sana, na akishindwa tutakuwa tumepunguza nguvu muhimu sana bungeni ambayo tunaihitaji bado kwa sasa.
nafikiri ni bora tuongeze viti vingi bungeni then turudi kwenye urais. HISTORIA YA KUSHINDWA IKIWA KUBWA SANA HAILETI IPCHA NZURI KWA MGOMBEA AU UPANDE UNAOGEMBEA, INAWEZA KUKATISHA TAMAA SUPPORTERS. Kwa hiyo naona ni bora tusikimbilie Urais mpaka tujipange vizuri na tuwe na nguvu nzuri.
Tujenge vyama vyetu vizuri kuanzia ngazi ya chini. Ujue huko ndio kwenye watu wengi. vijijinoi tufike na tuwe na matawi mengi yenye nguvu. mIkoani kote pamoja na wilayani. Huwezi Kushinda kama hujakamata sehemuhizi vizuri.Inabidi Tutafute fund ya kutosha na hasa means za kupata fund ambazo ni sustainable. Siasa bila fedha lazima tukubali kwamba haiwezekani.
Mambo mengi ningependa kuchangia lakini naona nahitaji muda na pagea za kutosha zaid, naomba niishie hapa wadau. Slaa BIG UPPPPPPPPP.
 
Back
Top Bottom