Elections 2010 Unamuunga mkono Dr. Slaa kugombea URAIS mwaka 2010? Jiandikishe hapa

Wengi humu ni wafanyakazi AKA "Mbayuwayu" tusubiri kama watamg'ang'anizia kura zao ambazo mwenyewe kishasema hazitaki kura za mbayu wayu
 
Akagombee uaskofu huko kwa wakatoliki wenzake nchi hana ubavu...wowote poleni

Padre awe rais on my dead body!!!!
Ufe mara ngapi you are already mentally dead body
 
Kadabosi Avatar yako inanikwaza.Inatisha..Naomba nikutafutie Avatar nzuri kama utakuwa tayari.
 
Chadema lazima kiweke mgombea urais hilo halina ubishi, ubishi unakuja ni nani wa kupeperusha bendera ya Chadema. CCM hategemei umaarufu wa mgombea kwa sababu ina machinery kubwa ninaposema machinery sina maana ya sera nzuri hata kama wana sera nzuri au mbaya lakini wao wana dora, uwezo(pesa), mtandao, umri, watu(puppets), nyenzo nk, ndiyo maana Mkapa na Kikwete pamoja na kutojulikana sana walishinda kwa kishindo.

kitu kingine tusidanganyane kushinda urais bila wabunge (minolity government) ndiyo solution tunasahau kuwa huyo rais atakuwa anaelea juu juu bila mshiko wowote ataikuta katiba ile ile na sheria ni zile zile na mikataba ilishapitishwa na bunge kuibadilisha itakuwa kazi nzito, bills zake zikikataliwa na bunge mara mbili inabidi aziondoe au alivunje bunge hapo ndipo mwanzo wa kupigiwa kura za kutokuwa na imani mfano Japan, kama kweli sisi ni wapinzani wa kweli tujiimalishe huku chini kwenye mizizi bungeni ndipo tutakapojenga nyumba imara(urais).
Mkuu wangu nakubaliana sana na changamoto zako isipokuwa tu unajaribu kufikiria Kiulaya Ulaya wakati tunazungumzia Tanzania nchi ya dunia ya tatu walioingia Ubepari pasipokuusoma Ubepari matokeo yake kila mmoja wetu kabeba Msalaba wake.
Nitarudia kusema uchaguzi wa nchi zetu hasa zile zinazofuata Popular vote na mfumo ambao mshindi huchukua zote hakuna cha Bunge.. Mugabe kashindwa bungeni, Kashindwa hata Popular vote alichobadilisha ni matokeo ya Popular vote na leo ndiye kiongozi anayepanga mwelekeo wa Zimbabwe. Hakuna cha Morgan wala mjomba wake. Hivyo hivyo Kenya matokeo yake ni yale yale bunge halina nguvu ya kumwangusha Kibaki. Huyo raila yupo yupo tu kubeba miswada bungeni.

Na kibaya zaidi ni kwamba sisi wote akili zetu ni kumchagua rais... uchaguzi wetu is all about the PRESIDAA wengine watajipanga nyuma yake na ndio maana ukitazama Wabunge na Madiwani wa CCM walioshinda wakati wa JK 2005, wengi wao hawana hata elimu wala sifa yoyote ya Uongozi. Watu wameshinda kienyeji enyeji tu.. Yaani Bungenikumejaa uozo kutokana na tiketi ya JK na kama unakumbuka Wabunge wenyewe baada ya ushindi walikiri kwamba ushindi wao umetokana na JK.. JK alipata support kubwa ya chama kutokana na uwezo wake kununulika na sii sifa yake ktk Uongozi.. Mwaka huu mambo yamebadilika na JK mwenyewe ameanza kulikoroga. Jk ameacha miaya mingi ya mashambulizi kiasi kwamba haitakuwa kazi kubwa sana kumtwanga magoli.. Na zaidi ya hapo safari hii ni lazima JK apande kizimbani kujitangaza.. akiingia mitini tunapata tena sababu nyingine ya kumshindilia. Nafasi ya Urais iko wazi kuliko mnavyofikiria.. kinachotakiwa ni vyama vya Upinzani wasijichuuze na kuanza kufikiria kila mmoja waoanaweza kushinda..Hofu yangu kubwa ni CCJ ambao binafsi nafikiri ni pandikizi la CCM kupotosha watu haswa wakati issue ya Richmond ilipokataliwa Bungeni. Kwa kuhofia kelel za wananchi ikazaliwa CCJ kutupotosha akili zetu ktk kufikiria maanake sote tunasubiri mwokozi. Nasubiri tu kuona wamejoipanga vipi nyuma ya vyama vya Upinzani laa sivyo hiki ni chama kilichopandikizwa kutuzuga kwamba wana uchungu sana na serikali hali ni baadhi ya watu ambao hawana uhakika na ushindi wao ndani ya CCM.
 
Niko na wewe 100 kwa 100. kila nikipiga hesabu haiji kabisa. Ukiangalia message wanayoileta CCJ kwa jamii ni moja eti "hakuna chama makini cha upinzani" hii ndiyo message wanayoileta Tanzania miezi kadhaa before uchaguzi. Sasa mtu yoyote anayependa mageuzi yatokee katika nchi hii hawezi kuleta message hii miezi michache kable ya uchaguzi. Kwa hiyo nakubariana na wewe kuwa hichi chama kitainufaisha sana CCM kuliko kutukomboa wanyonge Kwa kufanya (kimeshafanya) yafuatayo:-

i) Kuueleza umma wa watanzania kiunjanja kuwa hakuna chama imara cha upinzani kama kingekuwepo sisi mafisadi tulioacha tungeejiunga huko
ii) kugawa kula za watu waliochoka na ufisadi kati ya chadema na CCJ (chadema 33%, ccj 28% CCM 49%) ccm then anapeta
iii) kugawa wapiganaji mmesha ona jinsi wengine walivyoaanza kukipiga mawe chadema na kutuahidi kuwa bunge likiisha tutaona mambo makubwa ambayo hayajatokea - mpaka sasa bila.
iv) kuwaingiza mkenge baadhi ya wanasiasa ili waweze kupotea
 
Nashukuru wote wanaoendelea kujiandikisha. Jamani muda unakimbia na inabidi tufikishie hiyo namba na tumtumie ujumbe maalumu Dr. Slaa. Lazima afahamu hata kama tukiwa 500, basi kila mmoja wetu atakuwa tayari kutafuta ndugu, jamaa na marafiki ili wampigie debe na hatimaye kumchagua. Sidhani Pilau na Khanga zitakuwa na nguvu zaidi ya sisi ndugu zao tukiwaambia.

Mapambano bado kabisa yanaendelea na Mungu Ibariki Tanzania.
 
Back
Top Bottom