Elections 2010 Unamuunga mkono Dr. Slaa kugombea URAIS mwaka 2010? Jiandikishe hapa

Nadhani kwa makusudi kabisa mada hii imehamishiwa huku ili isipate mchango mkubwa...(correct me if I'm wrong)
 
Siku zinazidi kuyoyoma. Ewe Mtanzania unayetaka mabadiliko, njoo ujuandikishe. Usipofanya hivyo basi kesho usilalamike kuwa Rais hafai.
 
Tumeshafika 90 jamani. Mwezi unakaribia kwisha, tufanye himahima ili mwisho wa mwezi tufikishe lengo na tumwandikie Dr.Slaa majina yetu yote na tufahamu moja. Tusiwe watu wa kukata tamaa na kulialia baadaye pembeni kuwa Rais fulani ni mbaya wakati sisi wananchi tunaweza kufanya kazi ya kuleta Rais ambaye tuna imani naye.

NB: Mfalme, nakuona na asante kwa kuungana na sisi. Pia Original Pastor nakupa dole gumba juu. Tuko pamoja. Mapinduzi, muda ni huu.
 
Du, ndio kwanza 90 Mkuu
Tungefika zaidi kama sii kuihamisha mada hii kuja huku kwani bila Uongo watu wengi bado wanakwenda Siasa kabla ya kugusa kwingineko..
Hata hivyo tutafika pamoja na kwamba silioni jina lako..
 
Orodha ingekuwa tayari ndefu sana kama Sikonge angekuwa na njia nzuri ya watu kujiandikisha. Sijui kama ni shida ya webserver yangu tu, lakini sioni link inayofunguka hapo palipoandikwa petition.

So, ongeza Augustine Moshi kwenye list. There are thousands more who would add their names if it were easy to do so.

Use by date ya CCM ilikwisha kitambo. Na Dr. Slaa ndiye angekubalika nchi nzima kuwa Rais.
 
Tungefika zaidi kama sii kuihamisha mada hii kuja huku kwani bila Uongo watu wengi bado wanakwenda Siasa kabla ya kugusa kwingineko..
Hata hivyo tutafika pamoja na kwamba silioni jina lako..

Mkuu Nadhani Hulifahamu Jina Langu
 
Haya haya Watanzania. Wale wote mnaoona Dr. Slaa anafaa, mje tuonyeshe wingi wetu hapa. Hii habari imefunguliwa tena na tunakusubirini mje kwa wingi tupandishe idadi yetu kwa kasi sana sasa maana Slaa kashakiri kuwa ATAGOMBEA. Njooni tumuunge mkono....
 

Quadrat jr
 

Kisoda2
 
:target:Hongera sana Sikonge. Hatimae watanzania angalau tuna matumaini tena na kauli za kusema ni lazima tuwe na JK miaka mingine mitano ziishie hapohapo. Yanawezekana watanzania tukafanya U-turn. Nothing for granted.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…