Unamuwaza asiye kuwazia: Kwanini uteseke na mtu mmoja ambaye hana mpango nawe?

Tremendous pain..n..feelings
 
Maisha ni vile unavyojichukulia, ukiruhusu kulia lia hovyo utalizwa kweli mpaka na watoto wadogo. Mahusiano bora lazima yawe ni two ways traffic, sio unapeenda wala unayempenda hashituki naye aoneshe appreciation. Tupa kule atakusumbua mpka ukome, bora pengo kuliko Juno bovu.
 
Only after going through a few heart breaks, rejections hapo sasa unaweza kuja na hii hoja. Heart breaks ni kitu kibaya kwa ustawi wa mahusiano.
 
Tafuta pesa ndo sabuni ya kuwasafisha mabinti, ukiwa na mkwanja wewe ndo utakuwa unasalimiwa na kutumia SMS za kila aina. Hata mawazo ya kuchwa hautakutana nayo
 
Tafuta pesa ndo sabuni ya kuwasafisha mabinti, ukiwa na mkwanja wewe ndo utakuwa unasalimiwa na kutumia SMS za kila aina. Hata mawazo ya kuchwa hautakutana nayo
It makes sense nimeona. .
 
Tuna shida tunaopendaga wazmawazima yaan unateseka unahisi kufa...siwezi kupenda juujuu eti ukiniacha au ukianza visa nisiteseke, nikikupenda napenda mbka kasoro zako.
 
Tuna shida tunaopendaga wazmawazima yaan unateseka unahisi kufa...siwezi kupenda juujuu eti ukiniacha au ukianza visa nisiteseke, nikikupenda napenda mbka kasoro zako.
Natamani umpende mwanzisha mada hii mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…