Unamuwaza asiye kuwazia: Kwanini uteseke na mtu mmoja ambaye hana mpango nawe?

Unamuwaza asiye kuwazia: Kwanini uteseke na mtu mmoja ambaye hana mpango nawe?

Kweli kabisa ila nyote ni wanadamu mkikoseana mnasameheana. Lazima mtofautiane ila kuachana sio suruhu
Mapenzi yawe na mzani sasa , lakini si kuegama upande 1 hapana yakuwa utumwa, kuna ile mtu anajua kabisa hapa mmm nikomae nikisema suu tuna achana kwahiyo unang'ang'ania haswa, hapo 1 anaishi na kapresure
 
Mm napenda kutatua mambo yangu peaceful way.. so naamini kila kitu kinatatulika kwa kuongea.
So kuachana sio suruhisho mbona..Utakua na wangapi sasa kama kila unayekosanana nae mnaachana. Afu kama umeamua kumpenda penda unayempenda..na akupendae mtavumiliana
Yaani mie simaanishi kuachana , ila kuna ile hali mnaachana baadaye tena mnarudiana hiyo biashara hapana ngumu sana
 
Maiaha yenyewe mafupi haya mtu akikupenda myache tu akupende
Haaa haaa mafupi kweli yule anayependwa ndiyo anafaidi, ila huyu anabaki kuwa mtumwa wa mapenzi, hata akifanya kosa mwenzie hawezi mkanya anaogopa!
 
Inakuaje mtu unakosa raha ya maisha kwa ajili ya mtu mmoja unaempenda hafu yeye hana mpango nawewe..
Duniani tupo watu zaidi ya 7 billion kwanini ujisumbue kung'ang'ania mtu mmoja ambae anaku-Ignore.

Ukiwa peke yako unakua unamuwaza ila mwenzio hana habari nawe, unacall na kutext ila mwenzio hana habari (He/she don't give a damn shit)

Unampenda sana unamuonyesha upendo wa kweli ila ha-Appreciate lolote ulifanyalo..unabaki kulia tu usiku wa manane unawaza hadi kujiua au kujiona mtu usie na maana maishani wakati YOU WORTHY MORE THAN BILLIONS BEFORE GOD.

Kwanini uvumilie yote hayo mateso kama vile huyo abayekutesa ndio binaadamu pekee alibaki ulimwenguni..Wewe unakonda mwenzio anatoka shavu dodo.

Penda unapopendwa, penda pale unapoona unapata mrejesho wenye thamani ya upendo unaotoa. Wapo wengi wanatamani wakupe upendo wa dhati ila uneqafumbia macho na kung'angani mtu mmoja asiyejua thamani yako na thamani ya upendo wako.

Usilazimishe kupendwa,
Usilazimishe mawasiliano
Usilazimishe urafiki
Usilazimishe kupenda
Fura inachukuliwa haipewi..usisubiri mtu akupe furaha inuka kaichukue.
Be Valuable not available to everyone.

Milli Vanilli _ Girl I'm gonna miss you
Vers
Kweli kabisa mkuu
 
Jambo baya kabisa katka haya mambo ni expectation ukiweza kuishi kwa kucontrol expectation pamoja na kufanya vitu bila kutamguliza hisia utakuwa mtu bora sna usiexpect chochote toka kwa mtu yoyote mtu ukimpenda akakukataa unaachana nae angalia mambo mengne love is an automatic process huhitaji kuwekeza aina ya nguvu yoyote katk kumpenda mtu jthd kuondoa mipaka ktk kila eneo la maisha yako jiandae kisaikolojia kupokea matokeo ya aina yoyote ktk kila unalolifanya utaishi vzr mno
 
Unakuta wengine wanaenda hadi kwa watalaamu (waganga) hiyo yote kupigania uwepo wa mtu fulani ktk maisha yake matokeo yake inawatokea puani wanabaki kujilaumu.
 
Biashara ambayo huwa sitaki kuiona au kuisikia
Asikwambie mtu mkuu mapenzi yana power Sana, nilikua nasikia tuu kwamba fulani Kawa chizi kisa mapenzi lakini me mwenyewe nilijionea na nisema tuu hakuna kitu kinauma kama mapenzi chanzo ni wivu, wivu mbaya sana.
 
Asikwambie mtu mkuu mapenzi yana power Sana, nilikua nasikia tuu kwamba fulani Kawa chizi kisa mapenzi lakini me mwenyewe nilijionea na nisema tuu hakuna kitu kinauma kama mapenzi chanzo ni wivu, wivu mbaya sana.
Kidonda chake kinauma asikwambie mtu, usipo jicontrol ndiyo hapo kila siku kwa Dr.asiejua hata what is biology
 
Kidonda chake kinauma asikwambie mtu, usipo jicontrol ndiyo hapo kila siku kwa Dr.asiejua hata what is biology
Na wanaiweza sana hiyo kazi, kitu nilichokiona nikwamba asilimia 90 ya waliowa hawakuwapata kirahisi hao wanawake wengi wanaishi na wanawake ambao waliwaloga ili wawapende

Na hii siyo kwa wanaume hata wanawake pia wanafanya akiona familia fulani inakipato
 
Na wanaiweza sana hiyo kazi, kitu nilichokiona nikwamba asilimia 90 ya waliowa hawakuwapata kirahisi hao wanawake wengi wanaishi na wanawake ambao waliwaloga ili wawapende

Na hii siyo kwa wanaume hata wanawake pia wanafanya akiona familia fulani inakipato
MUNGU Nisaidie, ndiyo zile dawa zikiisha nguvu chali safari bado ndefu
 
Mwanzoni nlikua napenda mpaka nahisi nimelogwa nlikua najua kung'ang'ania mtu dah lakn saivi nampenda anaenipenda nafeel proud nimekua na nimejifunza
 
Back
Top Bottom