Unamuwaza asiye kuwazia: Kwanini uteseke na mtu mmoja ambaye hana mpango nawe?

Ahaha wanaopendana inakuwa nini mkuu ?

Funguka kidogo ndugu
LOVE IS FATE, sio kila mtu yupo endowed with love. Wapo wachache tu ndio wenye bahati hiyo ila wengi hawayapati mapenzi hayo ambayo ni muhimu kwa maisha yao. Watu wamebarikiwa uzuri wa sura na umbo, roho safi na LOYALTY ya kiwango cha hali ya juu lakini hawapati mapenzi/upendo kama wanavyotakiwa kupata, pengine hawapati kabisa. Hapo sasa ndio mtu anaanza kujiuliza shida nini wakati kila kitu anacho ila upendo wa kweli hapati. Its sjust a simple spell, love is fate.

Kama fate yako sio kupata mapenzi huwezi pata mapenzi hata ufanyaje utaishia kuroga na kuhonga sana ila utaishia kuyakosa. Ive just realize that some people are born to get all the love in the world and the rest of us we get nothing!! Je hii ndio fate yao? Kwamba tuwe wasindikizaji?why don’t we worth it? How to worth it?

Look! Watu wapo wengi wamejaliwa upendo wa kweli na uaminifu mkubwa but hawapati mapenzi yale yanayolingana na thamani ya penzi walilonalo..maisha yao yote wanaishia kulia na kuteswa na mapenzi..maisha ni kitu cha ajabu vitu vizuri vizuri hua wanapata wale wasiostahili kuvipata maana hawajaui thamani ya vitu hvyo ila wale wanaostahili kupata vitu vizuri kama wao wanaojua kuthamini vitu vizuri hawavipati. Wanabaki katika dimbwi la upweke na majonzi kwa kupata yale wasiyo stahili pengine hawapati kabisa.

Ndugu tambau kwamba upendo ni kitu muhimu sana kwa mwanadamu lakini pia jua love I fate sio kila mmoja anaweza kupata upendo ule anaohitaji ama naufikiria kuupata maana hata ukiuupata bado fte itakuwinda na kukunyanganya furaha ya penzi lako. Kama uko fated to be solo and sorrow for the life time jaribu kukubali hiyo hali kwamba ndio hali yako halisi japo inauma. Just stop to be emotional overthings you can’t control, it’s your time to be happy coz everyone deserve happiness.

 
LOVE IS FATE, sio kila mtu yupo endowed with love. Wapo wachache tu ndio wenye bahati hiyo ila wengi hawayapati mapenzi hayo ambayo ni muhimu kwa maisha yao. Watu wamebarikiwa uzuri wa sura na umbo, roho safi na LOYALTY ya kiwango cha


Umeniponya haswa leo [emoji1545]
 
I just feel kama love is not my fate maana najikuta huwa napenda sana and give my all ila sipatagi love in return [emoji20]
Pole mno asee ndio maisha yalivyo unachotaka hupati unachopata hutaki. I wish ningekua mimi hapo niyapokee hayo maupendo. Basi tu I guide other to the Treasure I can't possess
 
LOVE IS FATE, sio kila mtu yupo endowed with love. Wapo wachache tu ndio wenye bahati hiyo ila wengi hawayapati mapenzi hayo ambayo ni muhimu kwa maisha yao. Watu wamebarikiwa uzuri wa sura na umbo, roho safi na LOYALTY ya

Asante.umenigusa,haya maneno yako yananikazia tu ujasiri!Love is not my fate na bahati nzuri nishajitambua hilo so hayanisumbui hata dakika moja,yaani Nina Furaha bila kutegemea uwepo wa binadamu aliyezaliwa na mwanamke Kama Mimi.....Siwezi kukaa naumia kisa mtu na Furaha zake,yeye afurahi mimi nikonde!hapana......Moyo wangu nilishauambia Ukisikia kipenga pyeee Basi !achana na hiyo part time job endelea kazi yako ya asili "sukuma damu"
 
Joanna all you need is someone to ring and bashing you well like a bell🏃🏃
Muda ukifika utapata mtu atakaekuoenda with all of you...
Siku zote hua kuna point of no return, umempenda mtu husikii wala huoni hapo habari za fate wala nini hutakumbuka, utabaki kuvumilia kushikilia senyenge maana ndiko ilipofungwa furaha yako, japo unaumia lakini huwezi kuachia maumivu hayo ambayo yanautamu ndani yake.

Je nini kilikukuta?
 
Sahihi kabisa
 

Ameeen[emoji120]
 
Moyo hauhusiani kabisa na swala la kupenda dada
Nilishawahi kumpenda mtu mpaka nilijuta akili inaniambia sipendi ila moyo unaniambia tulia tu endelea kupambana kiukweli siwacheki wanaoteseka maana nimepitia hiyo hatua ila kiukweli moyo ni tatizo najua kuna watu wanasema siwez just mshukuru Mungu sana kama hujapitia hiyo hali lakini usijifariji as long as bado upo hai siku moja utakutana na chuma cha reli kitakufanya uimbe a,e,i,o,u UKIONA mapenzi yanaua usione wanao jiua ni wajinga hapana ni kwamba kudhibiti hisia sio jambo rahisi sana kama wengine wanayodhani
 
Duuu una moyo mgumu yaani hujawaza tu kuwa utapoteza vingi yaani kila siku unamuwaza mtu mmoja tu labda niseme haya maneno yako ni mazuri ila ukiwa maskini unaweza ukafirisika kabisa yaani pesa zote unazotafuta zitaenda kwa mtu asiekupenda nafikir hakikisha unaweka kikomo tongoza ndani ya miezi miwili aeleweki achana nae ili uishi kwa amani sio unatongoza miaka miwili yaani hii peinciple mim nina ikataa utakuwa maskini mapaka ujute halafu wasichana wenyewe kila siku anakupoga vizinga mpaka ujute
 
Umenigusa mimi kabisa no coment jamani hii coment ni ya kweli ukisumbuka sana utafirisika sana maama UNALZIMISHA SANA MAPENZI
 
Nikitongoza sana huwa ni wiki 1 kama haeleweki napiga chini.
Unamhangaikia mwanamke kama unaomba kazi halafu uanze kumpa pesa zako. Yote ya nn hayo.
Nishaonga sana mpk akili ikakawa sana kuwa wanawake hawana shukrani. Kama mwanamke amekupiga mzinga wa 50,000 mpe 10,000 ukiona king'ang'anizi piga chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…