Unamzungumziaje mchambuzi Geoff Lea

Yes Ambangile yupo poa Namkubali sana

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
 
Pole mkuu, huyu jamaa nataka kuijua historia yake ni nani hasa?

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
 
Nimesoma hiyo comment yuko sahihi 100%

Simba na Yanga zinajaza uwanja wa Mkapa kwenye matukio mawili tu

1. Simba/Yanga Day
2. K/Koo Derby

Sisi mashabiki ndio tatizo hapa, kwanini uwanja hatujazi hata kwa 70% tunapocheza na timu kama Ihefu?
Umeielewa post ya juu ya juu?
Jamaa analikuwa anasema kuwa league ya Tanzania ni mgodi, anahimiza mamlaka kuangalia fursa hiyo.
Jamaa akatokea alikotokea na comment yake ya kusiliba.

Simba na yanga zinajaza uwanja matukio hayo mawili tu?
Vipi mechi za kimataifa?
Vipi wakienda mkoani?

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
 
Ukiachana na Ambangile mchambuzi mwingine anayekuja juu sana ni Farhan Kihamu Jr

Namuona huyu dogo akimpita hata Ambangile
Issue itakayo cost kwa huyo dogo kupitia akaunti zake za mtandaoni ni kuweka wazi mapenzi yake katika moja ya hizi timu za Kariakoo na ni tofauti kwa Ambagile mpk sasa hajawi weka wazi mapenzi yake yapo wapi na wala huwezi kutambua
 
Kwanza ameandika kama mtoto wa form 2C.

Aidha simfahamu huyu bwana. Miaka ile nilikua namkubali Edo Kumwembe sijui anafanya vp siku hizi.
 
Uko sahihi sijawahi kumuona akisema anything positive kuhusu mpira wa Tanzania.

Kuhusu kuzaja uwanja nimesema uwanja wa Mkapa, sio vya mikoani. Mechi za ligi ambazo sio derby uwanja hata nusu huwa haujai.
 
Tuliozoea kukaa mahakamani tunasema hoja yako haina mashiko na jalada linatupiliwa mbali
 
Issue itakayo cost kwa huyo dogo kupitia akaunti zake za mtandaoni ni kuweka wazi mapenzi yake katika moja ya hizi timu za Kariakoo na ni tofauti kwa Ambagile mpk sasa hajawi weka wazi mapenzi yake yapo wapi na wala huwezi kutambua
Una uhakika? Sijawahi kumuona akiashiria kuonesha mapenzi au bias kwa timu yoyote ya K/Koo

Labda unahisi hivyo?
 
Uko sahihi sijawahi kumuona akisema anything positive kuhusu mpira wa Tanzania.

Kuhusu kuzaja uwanja nimesema uwanja wa Mkapa, sio vya mikoani. Mechi za ligi ambazo sio derby uwanja hata nusu huwa haujai.
Msingi wa huyo jamaa aliyepost ilikuwa ni kuonesha kuwa mpira wa Tanzania unapendwa.
Lakini huyu kijana sikuelewa aliona tatizo wapi, mpaka akacomment vile.

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
 
Kwani kaongea uongo? , mechi za derby tuu ndo hujaza uwanja, ukienda mechi nyingine washabiki huo wachache kupitiliiizaaaa

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ww ndo hujaelewa vizuri asee. Ila Geoff yupo sahihi 100%

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Hajasema uongo jeff.

Simba na yanga zinajaza uwanja kwenye derby zao tu. Ama matamasha yao ya kufungua msimu.

Ama mechi kubwa sana ya ligi ya mabingwa africa.

Ila zaidi ya hapo hata nusu uwanja wa taifa haziwezi kujaza
 
Huyu kijana abs Tatizo kubwa la grandiose

It’s a mental Illness

He will remain floating in the world of mediocrity Kwa muda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…