balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Mbona Jemadari Said Kazumari kafika hadi form six?Nimecheka sana mkuu, nimekumbuka matukio kadhaa.....alafu nikakumbuka kiingereza cha jemedari said, alichokiandika juzi kwenye birthday yake.
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Mkuu , ubaya ni kuwa alichocomment nikitafuta lengo lake lilikuwa nini sipati.Hajasema uongo jeff.
Simba na yanga zinajaza uwanja kwenye derby zao tu. Ama matamasha yao ya kufungua msimu.
Ama mechi kubwa sana ya ligi ya mabingwa africa.
Ila zaidi ya hapo hata nusu uwanja wa taifa haziwezi kujaza
Hats hiyo jemedari ni mjuaji kupitiliza ni vile hana while kichwaniNimecheka sana mkuu, nimekumbuka matukio kadhaa.....alafu nikakumbuka kiingereza cha jemedari said, alichokiandika juzi kwenye birthday yake.
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Nimemuona mkuu, anaujuaji pia.Hats hiyo jemedari ni mjuaji kupitiliza ni vile hana while kichwani
Hawa jamaa platforms zao huzitumia vibaya.. sally mayai yupo sawa soon mtuwa kubezaNimemuona mkuu, anaujuaji pia.
Mchambuzi wa mpira ila unataka kuchambua mambo ya marketing.
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Nakuletea uthibitishoUna uhakika? Sijawahi kumuona akiashiria kuonesha mapenzi au bias kwa timu yoyote ya K/Koo
Labda unahisi hivyo?
Huyu kijana mie simuelewi, Kila kinachohusu soka la Bongo ye anaponda tu.
Mpaka unajiuliza huyu ana matatizo?
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Ni kweli Huyo dogo huwa anazungumzia sana kuhusu simba japo ana kipaji.Nakuletea uthibitisho
Nchi gani nyingine inafikia Tanzania kwa mashabiki ukiondoa 'South Afrika na Egypt?Nimesoma hiyo comment yuko sahihi 100%
Simba na Yanga zinajaza uwanja wa Mkapa kwenye matukio mawili tu
1. Simba/Yanga Day
2. K/Koo Derby
Sisi mashabiki ndio tatizo hapa, kwanini uwanja hatujazi hata kwa 70% tunapocheza na timu kama Ihefu?
Pale wasafi Kuna yule mchambuzi mwalikwa Hans naye kidogo yupo vizuri japo si sana.Ukiachana na Ambangile mchambuzi mwingine anayekuja juu sana ni Farhan Kihamu Jr
Namuona huyu dogo akimpita hata Ambangile
kama hamna wachambuzi DSTV inawapaje kazi kuchambua ligi kuu ya uingereza?Kwani bongo kuna wachambuzi wapira?
Africa hakuna nchi yenye 'passion' na mpira kama Tanzania, makocha wengi wa kigeni kama Micho wamekiri.Nchi gani nyingine inafikia Tanzania kwa mashabiki ukiondoa 'South Afrika na Egypt?
Huyu ni mchambuzi mbumbu kabisa,anajifanya kuchanganya kiingereza ili aonekane ana akili,lakini ni mpuuzi,mpumbavu na mbumbumbu wa hali ya juuKuna kikundi cha waandishi kimeibuka, na wanapenda watambulike kama wasema kweli. Lakini kila nikitazama niuone huo ukweli siupati naona ni majungu na chuki tu.
Kwa leo tuanze na huyu GEOF LEA.
Huyu kijana sijui ana shida gani, ni mjuaji hakuna mfano.
Bwana Geof lea anaamini kuwa ukosoaji kila kitu ndio kuonesha wewe ni mwerevu na mjuvi wa mambo.
Msimu uliopita alitoa kauli kwamba, haoni simba akifika mahala na beki ile,Mungu si athumani Simba anamaliza makundi amefungwa Goli mbili tu.
Amefikia hatua ya kuanza kusema eti simba na yanga zinatumia Nguvu kubwa kujaza uwanja, na wala sio kwamba mpira unapendwa Tanzania.( hii akizipinga page na wachambuzi wa nje)
Yapo mengi juu ya huyu kijana, naamiini kama na wewe umekutana nayo utasema.
Kama bado hujaona unaweza fuatilia tweet zake.
NB:Hatukatai ukosoaji ila hatutaki Ujuaji.
View attachment 1947012
Ni mjingaHuyu kijana mie simuelewi, Kila kinachohusu soka la Bongo ye anaponda tu.
Mpaka unajiuliza huyu ana matatizo?
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Farhan ni bwana mdogo sana kiumri ila anajua kinoma..atakuja kuwa mkubwa sana..Naona na Shaffih anampa sana nafasi hapo Clouds.Ukiachana na Ambangile mchambuzi mwingine anayekuja juu sana ni Farhan Kihamu Jr
Namuona huyu dogo akimpita hata Ambangile