makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Jibu jepesi 98% ya mashabiki wa soka Tanzania ni aidha simba ama yanga.Post yake ina ukweli lakini ilibidi apige kimya.
Kwani kwa mkapa huwa kunajaa Simba au Yanga wakicheza na Gwambina?
Tutaanza kusema soka limeteka pale ambapo viwanja vitaanza kujaa bila kujali ni mechi gani.
Ukiachana na Ambangile mchambuzi mwingine anayekuja juu sana ni Farhan Kihamu Jr
Namuona huyu dogo akimpita hata Ambangile
Hana uwezo ni connection tu za mtaani ndio zimemuweka hapo ila uchambuzi wake ni majanga tuuna ushahidi kuwa clouds walimtema? Walioondoka clouds na kuhamia EFM walitemwa? Inawezekana mtu akawa na uwezo mdogo akaajiliwa DSTV kuwa mchambuzi wa soka? Tujifunze kuheshimu talanta za watu, amefika alipo kwasababu ya uwezo.
Yaaa dg anajua sana na mimi namjua tangu akiwa Ebony FM ya Iringa ila asiji ingize kwenye huu mkumbo wa siasa za simba na YangaNi kweli Huyo dogo huwa anazungumzia sana kuhusu simba japo ana kipaji.
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Hata Old Trafford huwa haijai mechi zote mkuu.Post yake ina ukweli lakini ilibidi apige kimya.
Kwani kwa mkapa huwa kunajaa Simba au Yanga wakicheza na Gwambina?
Tutaanza kusema soka limeteka pale ambapo viwanja vitaanza kujaa bila kujali ni mechi gani.
Dg aachane na hizi siasa za simba na Yanga hasa ukiwa mchambuzi na mwisho wa siku atajikuta kwenye kundi la wachambuzi ambao ni TakatakaFarhan chenga, anaonyesha kabisa ye ni Simba na hata chambuzi zake zimeegemea upande huo. Sioni akifika mbali.
JamiiForums mobile app
Shaffih ana kadi ya Simba. Alex, Eddo na Oscar sina uhakika ila wale watakuwa SimbaDg aachane na hizi siasa za simba na Yanga hasa ukiwa mchambuzi na mwisho wa siku atajikuta kwenye kundi la wachambuzi ambao ni Takataka
Dg anajua sana tangu akiwa Ebony FM kule Iringa alikuwa anafanya kazi pale wakati anasoma chuo cha MUCE
Look at Ambangile huwezi jua jamaa ana mapenzi ya timu gani pale Kariakoo, na anazichambua hizi timu technically
Ila kuna hawa jamaa ni Yanga wakubwa kabisa ila ndo kwasababu Yanga hawafanyi vizuri ndo maana kidogo wamerudi nyuma
1.Shaffih dauda
2.Maulid kitenge
3.Oscar Oscar
4.Yusuph mkule
5.Edo kumwembe
6.Alex luambano
Hawa hapa ni simba
1.Ahmed Abdallah
2.Saleh jembe
3.Ahmed Ahmed
4.Jemedar Said
5.Ibarahim Maestro
SawaShaffih ana kadi ya Simba. Alex, Eddo na Oscar sina uhakika ila wale watakuwa Simba
JamiiForums mobile app
Huyu jamaa ni mnyarwanda anaona wivu bongo tunatoboa kwao wanazidi kushuka viwango
Sent using Jamii Forums mobile app
Edo kanunuliwa nae kawa ni mchambuzi wa gsm,Kwanza ameandika kama mtoto wa form 2C.
Aidha simfahamu huyu bwana. Miaka ile nilikua namkubali Edo Kumwembe sijui anafanya vp siku hizi.
Naku correct hapo kwa shafii ..Dg aachane na hizi siasa za simba na Yanga hasa ukiwa mchambuzi na mwisho wa siku atajikuta kwenye kundi la wachambuzi ambao ni Takataka
Dg anajua sana tangu akiwa Ebony FM kule Iringa alikuwa anafanya kazi pale wakati anasoma chuo cha MUCE
Look at Ambangile huwezi jua jamaa ana mapenzi ya timu gani pale Kariakoo, na anazichambua hizi timu technically
Ila kuna hawa jamaa ni Yanga wakubwa kabisa ila ndo kwasababu Yanga hawafanyi vizuri ndo maana kidogo wamerudi nyuma
1.Shaffih dauda
2.Maulid kitenge
3.Oscar Oscar
4.Yusuph mkule
5.Edo kumwembe
6.Alex luambano
Hawa hapa ni simba
1.Ahmed Abdallah
2.Saleh jembe
3.Ahmed Ahmed
4.Jemedar Said
5.Ibarahim Maestro
Eddo utopolo kitambo,Shaffih ana kadi ya Simba. Alex, Eddo na Oscar sina uhakika ila wale watakuwa Simba
JamiiForums mobile app
Unadhani ni kwa nini Dr Riki Abdullah hataki uchambuzi wa hizi timu zenu za kariakoo au ligi ya Bongo?Aliwai kusema mwaka jana kwa ulinzi huu wa Simba siwaoni wakifika mbali CAFCL,akiwa dis zaidi babu Onyango na mzee Wawa.
Wachambuzi wengi wa soka awajui ila kwasababu wamepata nafasi ndo wanatomboka tu.
Rick Abdallah ndo bingwa wa kuchambua soka na mwengine kidoogo ni Farhan Kihamo.
Sababu kubwa watanzania hawapendi kusikia ukweli wanapenda kusifiwa hata kama vitu ni vya hovyo.Unadhani ni kwa nini Dr Riki Abdullah hataki uchambuzi wa hizi timu zenu za kariakoo au ligi ya Bongo?
Mi tangu nilipoona ana swaga za kuweka hereni masikioni sitaki hata kumsikilizaPole mkuu, huyu jamaa nataka kuijua historia yake ni nani hasa?
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app