Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
- Thread starter
-
- #81
Ukweli upi hapo, hivi swala kuwa watanzania wanapenda mpira.Watanzania hawapendi ukweli hapo huyo kijana hajakosea
Kama anaongea kingereza na nyie jifunzeni kingereza
Mpira wa tanzania umejaza mashabiki wasiojitambua ndio kaongea ukweli mmepanic
Ukweli upi hapo, hivi swala kuwa watanzania wanapenda mpira.
Mtu ikilipinga nao ni ukweli?
Kingereza, Unadhani watu wote hawa wanaompinga hawajui kiingereza?
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Kaleta ujuaji usiohitajika.Hiyo comment yupo sahihi kabisa. Ni kweli Yanga au Simba vs Lipuli uwanja ni mapengo tupu. Sema kuliko kuandika negativity hapo bora angepiga kimya tu.
Ilikuwa vipi akawa mtanzania huyu kijana, tunajua ni mnyarwanda tunaomba vyombo vimfuatilie, imeniuma sana soka letu likichafuliwa, anajiona mjuaji sana kujifanya analijua soka la ulaya mno.Achunguzwe.Kuna kikundi cha waandishi kimeibuka, na wanapenda watambulike kama wasema kweli. Lakini kila nikitazama niuone huo ukweli siupati naona ni majungu na chuki tu.
Kwa leo tuanze na huyu GEOF LEA.
Huyu kijana sijui ana shida gani, ni mjuaji hakuna mfano. Bwana Geof lea anaamini kuwa ukosoaji kila kitu ndio kuonesha wewe ni mwerevu na mjuvi wa mambo.
Msimu uliopita alitoa kauli kwamba, haoni simba akifika mahala na beki ile,Mungu si athumani Simba anamaliza makundi amefungwa Goli mbili tu.
Amefikia hatua ya kuanza kusema eti simba na yanga zinatumia Nguvu kubwa kujaza uwanja, na wala sio kwamba mpira unapendwa Tanzania.( hii akizipinga page na wachambuzi wa nje).
Yapo mengi juu ya huyu kijana, naamiini kama na wewe umekutana nayo utasema.
Kama bado hujaona unaweza fuatilia tweet zake.
NB:Hatukatai ukosoaji ila hatutaki Ujuaji.
View attachment 1947012
Alivyoreply vile lengo kuu ni kuonesha Tanzania hakuna mwamko wa mpira, je ni kweli?Kitu gani ambacho ameongea sio cha kweli?
Ye anakwambia anaongea ukweli, na si mara moja ni mara kadhaa analeta chuki kwenye kivuli cha ukweli.Ilikuwa vipi akawa mtanzania huyu kijana, tunajua ni mnyarwanda tunaomba vyombo vimfuatilie, imeniuma sana soka letu likichafuliwa, anajiona mjuaji sana kujifanya analijua soka la ulaya mno.Achunguzwe.
Kuvaa hereni inategemea na mazingira aliyokulia mtu, kwangu siyo tatizo kabisa.Mi tangu nilipoona ana swaga za kuweka hereni masikioni sitaki hata kumsikiliza
Uko Sahihi KiongoziNimesoma hiyo comment yuko sahihi 100%
Simba na Yanga zinajaza uwanja wa Mkapa kwenye matukio mawili tu
1. Simba/Yanga Day
2. K/Koo Derby
Sisi mashabiki ndio tatizo hapa, kwanini uwanja hatujazi hata kwa 70% tunapocheza na timu kama Ihefu?
Tukizipenda simba na Yanga tunakuwa hatupendi mpira?Tz hamna mwamko wa mpira ila kuna mwamko kwa timu mbili za simba na yanga tu. Simba na Yanga kwenye mechi za ndani hawajawahi kucheza ugenini, maana kokote wanakoenda wanakuta mashabiki wake wamejaa kuliko hata timu mwenyeji. Kaitaba pale kuna uwanja mzuri tu lakini kagera sugar akicheza na mwadui mashabiki hawafiki hata nusu ya wale kwenye mechi dhidi ya yanga au simba.
Prison kahamia mkoani rukwa ambako hakukuwa na timu ambayo inashiriki ligi kuu, lakini prison akicheza na polisi tz mashabiki hawafiki hata nusu ya wale kwenye mechi dhidi ya simba au yanga. Hatupendi mpira ila tunazipenda simba na yanga tu.
Nimemuelewa, unaweza kunisaidia lengo lilikuwa nini?Hukumuelewa, yeye alizungumzia idadi ya mashabiki wanaoingia viwanjani wakati Yanga/Simba ikicheza na timu nyingine kwenye ligi, mashabiki ni wachache sana, ukilinganisha na hizo sherehe za wiki ya Mwananchi na simba day ambazo zinakuwa ni special kwa mashabiki wao na pia zinakuwa na promosheni kubwa.
Nchi nzima kuzipenda simba na yanga tu maana yake hao watu wa nchi hiyo wanapenda mpira kwa asilimia chache sana. Shabiki alieko mkoani Rukwa au karibu na mkoani Rukwa ataingia uwanja wa Nelson Mandela kutazama mechi mbili tu kwa msimu mzima. Mechi zenyewe ni Prison dhidi ya simba na dhidi ya yanga.Hapo ni kupenda mpira kweli?Tukizipenda simba na Yanga tunakuwa hatupendi mpira?
Au nieleweshe labda unawezaje kuzitenga Simba na yanga na mpira.
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Kwahiyo hapo hupendi mpira unapenda nini?Nchi nzima kuzipenda simba na yanga tu ni kupenda mpira kwa asilimia chache sana. Shabiki alieko mkoani Rukwa au karibu na mkoani Rukwa ataingia uwanja wa Nelson Mandela kutazama mechi mbili tu kwa msimu mzima. Mechi zenyewe ni Prison dhidi ya simba na dhidi ya yanga.Hapo ni kupenda mpira kweli?
Point ni kwamba nchi nzima kupenda timu mbili tu sio afya kwa soka.Simba na yanga hawajawahi kucheza ugenini mechi za ndani maana kokote wanakoenda wanakuta mashabiki wamejaa na hivyo kukosa upinzani wa kweli. Hizo timu zingine hazina mashabiki na kama wapo kwa idadi ndogo sana na uthibitisho ni pale zinapocheza dhidi ya yanga au simba.Kwahiyo hapo hupendi mpira unapenda nini?
Na sio kweli kwamba hizi timu hazina mashabiki.
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Alex ni simbaShaffih ana kadi ya Simba. Alex, Eddo na Oscar sina uhakika ila wale watakuwa Simba
JamiiForums mobile app
Kwani Simba na Yanga zinacheza unyago siyo mpira ?Tz hamna mwamko wa mpira ila kuna mwamko kwa timu mbili za simba na yanga tu. Simba na Yanga kwenye mechi za ndani hawajawahi kucheza ugenini, maana kokote wanakoenda wanakuta mashabiki wake wamejaa kuliko hata timu mwenyeji. Kaitaba pale kuna uwanja mzuri tu lakini kagera sugar akicheza na mwadui mashabiki hawafiki hata nusu ya wale kwenye mechi dhidi ya yanga au simba.
Prison kahamia mkoani rukwa ambako hakukuwa na timu ambayo inashiriki ligi kuu, lakini prison akicheza na polisi tz mashabiki hawafiki hata nusu ya wale kwenye mechi dhidi ya simba au yanga. Hatupendi mpira ila tunazipenda simba na yanga tu.
Sasa unataka mashabiki ulazimishe wapende na vilabu vingine ?Point ni kwamba nchi nzima kupenda timu mbili tu sio afya kwa soka.Simba na yanga hawajawahi kucheza ugenini mechi za ndani maana kokote wanakoenda wanakuta mashabiki wamejaa na hivyo kukosa upinzani wa kweli. Hizo timu zingine hazina mashabiki na kama wapo kwa idadi ndogo sana na uthibitisho ni pale zinapocheza dhidi ya yanga au simba.