Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
Oga vizuri, jikaushe maji chukua limao ulikate then ujipake makwapani, aloo hata ukishinda na mishe za juani hutasikia hata tone la harufu.
Usiku pia ukisharudi kwenye mishe zako oga, paka tena kidogo, uendelee na shughuli za usiku.
Kesho niletee mrejesho, sitaki hata 100. Mchango wako ni kucomment hapa ili kusaidia wengine.
Ukifanya hivyo kwa siku 10 mfululizo hata ukiacha ndio nitolee, hutanuka tena.