Sea Beast
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 2,212
- 4,808
Boss usiandike vitu vinavyoweza umiza wenzio kisa huna hilo tatizo, kwahio kwakili yako mtu anayefanya kazi ofisini Posta anatoka kwake aogi, African nguo nkUsafi pia unachangia mkuu..
Ushawahi jaribu..?
Mimi nimefanya kazi na huyo mtu msafi, yupo professional kuliko ofisi nzima ila akitoka ikitokea sababu ya kuoata joto kidogo kwake tiali tatizo anatumia ndimu kukata harufu inamaana sisi wasafi sana.
Hilo ni tatizo la kuzaliwa zaidi halina uhusiano na usafi wewe kama huna hata uwe mchafu vipi utanuka jasho la kawaida ila sio kikwapa, kuna tofauti ya harufu ya jumla ya jasho na kikwapa.
Wewe huna Shakur Mungu usilete gabari za kukufuru hapa.