bongodili tele
JF-Expert Member
- Jun 8, 2024
- 1,520
- 3,022
Kunuka kwapa ni dalili za mtu mwenye mikosi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pole mkuuPumu inatutesa wengi, zamanj ilikuwa ni kifua tu kinawasha ndani kwa ndani ila sasa hali inaingezeka ubaya kadri muda unavyokwenda, imefika hatua ikinikamata nakuwa kama napiga filimbi fulani hivi, kisha kifua kinawasha mnoo kwa ndani
Tena kuna changamoto imejitokeza siku hizi nikilala haswa ikiwa kifudifudi, lazima nishituke na hewa ikiwa imejazana kooni haipiti, hapo ni mpaka nipige mbwewe kama nimekunywa pepsi, lakini jicho linakuwa limenitoka hatari.
Aisee pole sana ndugu yangu.Pumu inatutesa wengi, zamanj ilikuwa ni kifua tu kinawasha ndani kwa ndani ila sasa hali inaingezeka ubaya kadri muda unavyokwenda, imefika hatua ikinikamata nakuwa kama napiga filimbi fulani hivi, kisha kifua kinawasha mnoo kwa ndani
Tena kuna changamoto imejitokeza siku hizi nikilala haswa ikiwa kifudifudi, lazima nishituke na hewa ikiwa imejazana kooni haipiti, hapo ni mpaka nipige mbwewe kama nimekunywa pepsi, lakini jicho linakuwa limenitoka hatari.
Shukrani kaka, nafanyia kazi hili.Aisee pole sana ndugu yangu.
Ninakupatia aina tano za dawa za mimea zinazoweza kukusaidia kwenye hiyo shida yako.
1.Geng'wambula (Entanda abyssinica)
2.Lweja (Croton menyhartii)
3.Lonzwe(Euphorbia sp.)
4.Mlungulungu(Zonthoxylum cholybeum)
Hayo ni majina ya mimea kwa lugha ya kisukuma na ukiwa katika jamii hiyo mimea hiyo inafahamika na wauzaji wengi wa dawa asili wa jamii hiyo ( uwe makini kuuziwa isiyo sahihi) maana yake tafuta mwenyeji akusaidie. Kwenye mabano ni majina yake ya kisayansi.
Unatakiwa kuchanganya uwiano sawa wa unga wa mizizi yake iliyoandaliwa vyema,unakuwa unatumia kijiko kidogo cha chai katika maji moto mara tatu kwa siku.
5.Kasuku( Warbugia ugandensis) Hii ni kali sana ndiyo maana sijakueleza kuichanganya kwa uwiano sawa na wale wengine.Hii unatakiwa kutumia robo kijiko tu cha chai kwenye maji moto mara mbili kwa siku.Mimea hii haina madhara yoyote kiafya na imetumika katika tiba hiyo na tiba nyingine kwa muda mrefu.
POLE SANA.MUNGU AKUPONYE!
Kikwapa haihusiani na usafi, ni mtu anazaliwa nayo tuseme genetic zaidi mwenye kikwapa hapa anyone na aoge mara mbili kwasiku akipata mazingira ya kutokwa na jasho hata kidogo harufu inakuja.Mmmh vyakula gani hvo mkuu...
Japo mi sijawahi experience haya mambo ya kikwapa aiseee....
Ila na nywere pia zinachangia yaani kwapa nahisi ime base sana kwenye personal hygiene tuu
Kikwapa sio ishu ya usafi wala ugonjwa ni disorder tu mtu anazaliwanayo.Sure, usafi ,lishe hasa vyakula vyenye viungo vingi hasa vitunguu swaumu , manukato ( sabuni) ambazo sio spesheli kwa matumizi ya mwili ,pia kuvaa nguo zisizo suhusu ngozi kupumua na magonjwa ya ngozi hasa yanayoanzia kwenye shina la ngozi .
SureKikwapa sio ishu ya usafi wala ugonjwa ni disorder tu mtu anazaliwanayo.
Kila binadamu mwenye uhai na mwili wa nyama ananuka kwapa tofauti ipo kwenye Rate tu.Kunuka kwapa ni dalili za mtu mwenye mikosi
Pole sana..Ni PM kiongozPole sana,mwanangu inamtesa sana na nimetumia sana dawa za kisuni na hospitali lakini wapi
Pole mkuu njoo pm tafadhaliPumu inatutesa wengi, zamanj ilikuwa ni kifua tu kinawasha ndani kwa ndani ila sasa hali inaingezeka ubaya kadri muda unavyokwenda, imefika hatua ikinikamata nakuwa kama napiga filimbi fulani hivi, kisha kifua kinawasha mnoo kwa ndani
Tena kuna changamoto imejitokeza siku hizi nikilala haswa ikiwa kifudifudi, lazima nishituke na hewa ikiwa imejazana kooni haipiti, hapo ni mpaka nipige mbwewe kama nimekunywa pepsi, lakini jicho linakuwa limenitoka hatari.
Usafi pia unachangia mkuu..Kikwapa haihusiani na usafi, ni mtu anazaliwa nayo tuseme genetic zaidi mwenye kikwapa hapa anyone na aoge mara mbili kwasiku akipata mazingira ya kutokwa na jasho hata kidogo harufu inakuja.
Vyakula gani hivyo?Mkuu pia kuna aina fulan ya vyakula ukizoea kula mara kwa mara lazima utoe harufu kali ya jasho ,hii kitu ni nouma sana.
Naijua dawa inayotibu hii kitu hasa kwa watoto ni chap tu mtu mzima itachukua muda ila utaponaPumu inatutesa wengi, zamanj ilikuwa ni kifua tu kinawasha ndani kwa ndani ila sasa hali inaingezeka ubaya kadri muda unavyokwenda, imefika hatua ikinikamata nakuwa kama napiga filimbi fulani hivi, kisha kifua kinawasha mnoo kwa ndani
Tena kuna changamoto imejitokeza siku hizi nikilala haswa ikiwa kifudifudi, lazima nishituke na hewa ikiwa imejazana kooni haipiti, hapo ni mpaka nipige mbwewe kama nimekunywa pepsi, lakini jicho linakuwa limenitoka hatari.
Vyakula vyenye viungo vingi kama kitunguu swaumuVyakula gani hivyo?
Nifanyie hivyo ndugu yangu, nipone mie.Naijua dawa inayotibu hii kitu hasa kwa watoto ni chap tu mtu mzima itachukua muda ila utapona
Pole sanaNifanyie hivyo ndugu yangu, nipone mie.
Ahsante mpendwaPole sana