Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
Nipe ya pumuOga vizuri, jikaushe maji chukua limao ulikate then ujipake makwapani, aloo hata ukishinda na mishe za juani hutasikia hata tone la harufu.
Usiku pia ukisharudi kwenye mishe zako oga, paka tena kidogo, uendelee na shughuli za usiku.
Kesho niletee mrejesho, sitaki hata 100. Mchango wako ni kucomment hapa ili kusaidia wengine.
Ukifanya hivyo kwa siku 10 mfululizo hata ukiacha ndio nitolee, hutanuka tena.
Pumu inatutesa wengi, zamanj ilikuwa ni kifua tu kinawasha ndani kwa ndani ila sasa hali inaingezeka ubaya kadri muda unavyokwenda, imefika hatua ikinikamata nakuwa kama napiga filimbi fulani hivi, kisha kifua kinawasha mnoo kwa ndaniNipe ya pumu
Pole sana,mwanangu inamtesa sana na nimetumia sana dawa za kisuni na hospitali lakini wapiPumu inatutesa wengi, zamanj ilikuwa ni kifua tu kinawasha ndani kwa ndani ila sasa hali inaingezeka ubaya kadri muda unavyokwenda, imefika hatua ikinikamata nakuwa kama napiga filimbi fulani hivi, kisha kifua kinawasha mnoo kwa ndani
Tena kuna changamoto imejitokeza siku hizi nikilala haswa ikiwa kifudifudi, lazima nishituke na hewa ikiwa imejazana kooni haipiti, hapo ni mpaka nipige mbwewe kama nimekunywa pepsi, lakini jicho linakuwa limenitoka hatari.
Mkuu kuna jamaa angu aisee aliwahi vaa shati yangu yaani hata ukifua vipi bado kwapa alitoki mpaka nimeamua kugawa ile nguo...Watu wengi wananuka makwapa kwa sababu ya kuoga na sabuni za kufulia nguo na kuoshea vyombo na sio sabuni za kuoga .
Ndo ume balehe majuzi nini?Oga vizuri, jikaushe maji chukua limao ulikate then ujipake makwapani, aloo hata ukishinda na mishe za juani hutasikia hata tone la harufu.
Usiku pia ukisharudi kwenye mishe zako oga, paka tena kidogo, uendelee na shughuli za usiku.
Kesho niletee mrejesho, sitaki hata 100. Mchango wako ni kucomment hapa ili kusaidia wengine.
Ukifanya hivyo kwa siku 10 mfululizo hata ukiacha ndio nitolee, hutanuka tena.
Labda hakuna shida kumtaja mungu wake bure/bila sababu ya msingiYote sawa ila umenikera hapo ulopotaja Bure jina la Mungu wako
Sure wengine ni ugonjwa wa ngozi mkuu.Mkuu kuna jamaa angu aisee aliwahi vaa shati yangu yaani hata ukifua vipi bado kwapa alitoki mpaka nimeamua kugawa ile nguo...
Mi nakawa najua ile kwamba ni mtu anazaliwa nayo
Unajua harufu haitoki mazima mkuu mpaka nashangaa hata ufue vipi wapi haitokiiiiii maizmaSure wengine ni ugonjwa wa ngozi mkuu.
Mkuu pia kuna aina fulan ya vyakula ukizoea kula mara kwa mara lazima utoe harufu kali ya jasho ,hii kitu ni nouma sana.Unajua harufu haitoki mazima mkuu mpaka nashangaa hata ufue vipi wapi haitokiiiiii maizma
Mmmh vyakula gani hvo mkuu...Mkuu pia kuna aina fulan ya vyakula ukizoea kula mara kwa mara lazima utoe harufu kali ya jasho ,hii kitu ni nouma sana.
Sure, usafi ,lishe hasa vyakula vyenye viungo vingi hasa vitunguu swaumu , manukato ( sabuni) ambazo sio spesheli kwa matumizi ya mwili ,pia kuvaa nguo zisizo suhusu ngozi kupumua na magonjwa ya ngozi hasa yanayoanzia kwenye shina la ngozi .Mmmh vyakula gani hvo mkuu...
Japo mi sijawahi experience haya mambo ya kikwapa aiseee....
Ila na nywere pia zinachangia yaani kwapa nahisi ime base sana kwenye personal hygiene tuu
Siyo kweli. Mimi daima hizo sabuni Zenu za kuongea nazionaga tu. Huwa naogea zile za kigoma asee nikikoswa Huwa anapata wazo sana.Watu wengi wananuka makwapa kwa sababu ya kuoga na sabuni za kufulia nguo na kuoshea vyombo na sio sabuni za kuoga .
Sure limao ni zuri mno kwa sababu ya citric acid pia manukato ( sabuni) nyingi nzuri huwa na limao.Siyo kweli. Mimi daima hizo sabuni Zenu za kuongea nazionaga tu. Huwa naogea zile za kigoma asee nikikoswa Huwa anapata wazo sana.
Niliwahi mwambia jamaa angu atumie limao alipona
Hapo sawa mkuu..... Nimekuelewa sana sana tuu anSiyo kweli. Mimi daima hizo sabuni Zenu za kuongea nazionaga tu. Huwa naogea zile za kigoma asee nikikoswa Huwa anapata wazo sana.
Niliwahi mwambia jamaa angu atumie limao alipona
UhakikaSure limao ni zuri mno kwa sababu ya citric acid pia manukato ( sabuni) nyingi nzuri huwa na limao.
Pamoja sana mkuuHapo sawa mkuu..... Nimekuelewa sana sana tuu an