Unapenda Paka? Tupia picha ya Paka wako tumuone

Hahahaha,Paka anadeka.???
Ukimdekeza sana anaanza kunyakunya ovyo kwenye pembe za nyumba yako utaanza kusikia harufu na Mavi ya Paka' yananuka balaa usipime ndio maana wakinya nje kwenye mchanga wanachimba kunya na kufukia sio km Mbwa Mbwa anakunya tu hafukii wala nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…