miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
kweli kabisa acha tu nivae flat tuHeels ni sheeda hasa usafiri ukiwa ni TZ11
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli kabisa acha tu nivae flat tuHeels ni sheeda hasa usafiri ukiwa ni TZ11
Maashalah...mtani kama nakuona vile waaalah.....gauni fupi linalo bana kwenye nyonyo, huku chini linanyanyuka kidogo ili hata kakalio katoke na kakakiatu chenye soli ndogo ............... ofisini suruali ya kitambaa na kakoti hivi fulani hivi............ halafu weekend natupiamo kaskin jeans na swags kibao ....nyumbani namagauni makubwa ya kupitisha hewa kila kona sijibani
Nimekukonyeza kwa njia ya maandishi....Kazini- short dress, short skirt na blouse chini nina kiatu kirefu. Mkononi nina saa. Hereni, cheni wala make - up huwa sipendelei. Nywele huwa napenda kusuka style mbali mbali.
Outing- napenda kuvaa nguo fupi ambayo itanifaa kwa siku hiyo.
Nyumban: gauni ndefu au jeans na top.
mtani we nione tuMaashalah...mtani kama nakuona vile waaalah.....
hahahahaha kama nakuona vileMimi nikitupia kanzu na balaghashia huku ndani nikipiga msuli....chini nina kobazi..mkono wa kushoto nina bakora yangu....waalah mabinti wanavunja shingo mpaka nawahurumia....
Maumivu yakizidi muone daktari.....weka mbali na watoto...yes wakati mwingine unatamani umsemeshe hahahaha lol
Hahaha...mtaniuwa nyie kwa vichekoMaaashalah.....nabata ushungu walah nasumbua akili yangu.....
wakati wa kulala na vaa gauni la kuzaliwa mkuu .. sina bajeti ya hizo nguo
Hapo taratibu naelekea kwenye baraza la kahawa....hahahahaha kama nakuona vile
Kwani mtani lile gauni lako la kipaimara ulilotoka nalo kishumundu siku hiz hulivai tena...?? Huwa linakupendezaga sana mtani...!!!?mtani we nione tu
Basi sawa.weekend hii nakupa offer namimi nione mtoto wa kichagga unavyotokelezea na mitoko ya kiweekend.mara moja moja mkuu.... kama weekend kwenye offer siwezi enda na gauni iliyoachia ,.. navaa kasjkean jeans
Ha ha ha haya.Nimekukonyeza kwa njia ya maandishi....
Haya bibie endelea kupendeza kwa raha zako...Ha ha ha haya.
Hao lazima watakuwa wenyeji wa kuzimu...Hivi unaanzaje kuvaa hivi kwa mfano[emoji23]
![]()
![]()
![]()
![]()
Hivi unaanzaje kuvaa hivi kwa mfano![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hahah...kweli sio haba hapoHao lazima watakuwa wenyeji wa kuzimu...
Mtoto wa kichaga na viatu virefu wapi na wapi....!!!magauni marefu yalinishinda .. hzio heals siziwezi japo now nipo kwenye mazoezi heals naishia kuumwa miguu tu
hahahh koti la suti unapata na skuna matata, jeans blue ukipata na shati la kuchomekea mkanda nje hapo ni yereuwiikatika vitu napenda ni kumuona mwanaume kapendeza wooow nakodoa macho balaa raba jeans coti ya suti na anukie utamu ahahahaha si wale wanaovaa boxer wiki tatu