Unapendelea kuvaaje ili utoke chicha?

Unapendelea kuvaaje ili utoke chicha?

gauni fupi linalo bana kwenye nyonyo, huku chini linanyanyuka kidogo ili hata kakalio katoke na kakakiatu chenye soli ndogo ............... ofisini suruali ya kitambaa na kakoti hivi fulani hivi............ halafu weekend natupiamo kaskin jeans na swags kibao ....nyumbani namagauni makubwa ya kupitisha hewa kila kona sijibani
Maashalah...mtani kama nakuona vile waaalah.....
 
Kazini- short dress, short skirt na blouse chini nina kiatu kirefu. Mkononi nina saa. Hereni, cheni wala make - up huwa sipendelei. Nywele huwa napenda kusuka style mbali mbali.
Outing- napenda kuvaa nguo fupi ambayo itanifaa kwa siku hiyo.
Nyumban: gauni ndefu au jeans na top.
Nimekukonyeza kwa njia ya maandishi....
 
Hivi unaanzaje kuvaa hivi kwa mfano[emoji23]

58f6948b5a42afe10c89888eaff381ea.jpg
bc67daf407575f54505e68c296e83b05.jpg
78bdcd3a1e4e7a4327a1f3fc00d17e3e.jpg
47abd0cf8822bb754dc2d65ce37de16e.jpg
 
mara moja moja mkuu.... kama weekend kwenye offer siwezi enda na gauni iliyoachia ,.. navaa kasjkean jeans
Basi sawa.weekend hii nakupa offer namimi nione mtoto wa kichagga unavyotokelezea na mitoko ya kiweekend.
 
katika vitu napenda ni kumuona mwanaume kapendeza wooow nakodoa macho balaa raba jeans coti ya suti na anukie utamu ahahahaha si wale wanaovaa boxer wiki tatu
hahahh koti la suti unapata na skuna matata, jeans blue ukipata na shati la kuchomekea mkanda nje hapo ni yereuwii
 
Back
Top Bottom