Unapendelea kuvaaje ili utoke chicha?

Unapendelea kuvaaje ili utoke chicha?

hahahh koti la suti unapata na skuna matata, jeans blue ukipata na shati la kuchomekea mkanda nje hapo ni yereuwii
lazma nitetemeke asee hahahaha yerewiiiiiii
11219234_1037515742948958_4270845520248963664_n.jpg
 
Mimi anavovaa Cadet tuuu..na mashati yale ya draft hvi...
Kuna wakaka wanajipenda hady raha
ushawahi kumnunulia umpendaye, uzuri cadet inapendeza kwa kiatu chochote hasahasa ukipata skuna
 
lazma nitetemeke asee hahahaha yerewiiiiiiiView attachment 325122
binafsi napenda manzi avae kigauni kifupi na viatu vifupi sijui wanaita bajaj vile, dah nasuuzika sana roho yangu, au avae gown ndefu iliyotight bahati yake awe kajaliwa backward doh! ni sheedah! sipendi demu avae suruali iliyochanua chini
 
Hahahha fundi Pima juu chini kadiria inaitwa hahaha
 
Nikiwa chuo napenda kuvaa jeans na top, kanisani navaa gauni kawaida au skirt n blouse, kwenye sherehe napenda zaid magauni marefu na high hills,mtoko wangu short dress au legs na top na simple shoes
 
anataka nitembee kama napanda mlima
😀😀😀😀😀😀mi huwa naprnda viatu vya kudumbukiza na vya juu vibajaji very rare haviniprndezi miguu inafanana na ya babangu😱😱😱😱😱😱😱😱😱😎😎😎😎😎
 
😀😀😀😀😀😀mi huwa naprnda viatu vya kudumbukiza na vya juu vibajaji very rare haviniprndezi miguu inafanana na ya babangu😱😱😱😱😱😱😱😱😱😎😎😎😎😎
ha hahaha pole bwana aisee komaa hivyo hivyo
 
mi na surauali zangu zenye 'celebration' nne nne na mashati mchele mchele ngoja nikae kimya!
 
Back
Top Bottom