Unapo-chat na girlfriend wako kwa style hii

Mimi: Oya
Yeye: Niambie
Mimi: Nikitumie kwa empesa au tigo?
Yeye: yoyote my
Mimi: Ok cheki empesa yako.
Yeye: Thank you love nimeiona, niko njiani nakuja usiondoke.
Mimi: Akh usije saivi niko bize.
Yeye; Nakuja tena usitake kuniuzi au una mwanamke mwingine/ Nishapanda bajaji
Mimi: (Nabaki kutabasamu tuu)

SASA WEWE ENDELEA KULAINISHA MANENO
Hapa umeonesha matumizi makubwa ya pesa as your life style bila kujali kwamba atakuja au hatokuja na kiwango hicho umekadiria wewe anyway, kupanga sio kuchagua!
 
Natamani kumuonyesha shemeji yenu sema hata Smartphone yenyewe hana maana yeye ni type ya kwanza, Sema nmeshamzoea ana maupendo ila hajui kuchat 😃😃😃😃..
Mzuka unaupataje.... Kama hajui kuchat🤣🤣
 
Wewe: Mamb
Msichana: Poa bby..umepoteaaa sana bana.
Wewe: nilikuwa busy sana, vpi tunaweza meet leo maana siku nyingi, ukanionyeshe.
Msichana: Sawa, kweli hata mie nimekumic saana - utanishutua ulipo ili nije mai.
Wewe: Pouwa
Msichana: Afu bby???
Wewe: naimbie bby..
Msichana: Hela ya kusuka basi maana nyele zipo vururu vururu
Wewe: Bei gani ?
Msichana: ni sh 40,000 tu bby, nataka kusuka zile unazipendaga kuzichezea chezea eee
Wewe: (huku roho inakuuma ukijuta kwa nini ulimtafuta) ok nakutumia bby
Msichana:asante mai, pia kumbuka na nauli ya bajaji 10,000 na ya kutolea si unajua cku izi tena, na kitimoto mai wangu yaani umenizoesha vby !!
Wewe: kwa unyonge mno, ok nakuwekea usijali.

Hapo kwa unyonge unashika simu unacheki salio la Mpesa una 12,000 tu, kazi kwako.
 
Kama ni mim nina mblock maana kifuatacho ni aibu
 
Back
Top Bottom