technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Unapo deal na simba na yanga kuwa makini uwe Afsa wa serikali au uwe sijui rais wa TFF mwisho wako hautakuwa mzuri.
Angalia historia ya yanga ilipotoka fatilia vizuri upatikanaji wa uhuru wa Tanganyika ulipatikana fatilia mchango wa Yanga na historia yake katika taifa hili.
Yanga is next after Tanganyika hii ni timu ya waasisi wa taifa hili imekita mizizi kweli kwenye system yote ya nchi.
Ningeshauri Karia ajifunze kwa Malinzi kilichomkuta kwa kuchezea tu maslahi ya Simba.
Yanga na Simba ni serikali na ni ccm ukitaka kupotea fanya mchezo na hizi timu.
Angalia hata wasemaji wa hizi timu kwa makini sio watu wa kawaida Kama ambavyo tunawachukulia.
Jerry Muro, Manara Hawa ni spy ndani ya system ya mpira wa taifa letu msiseme sikuwasanua Tukiona mnakimbizana kisutu kwa makesi ya ufisadi pale TFF.
Fanya mambo ya msingi kwenye mpira then nenda achia wengine wafanye.
Kuingilia Maslahi ya Yanga au Simba ni sawa na kuingilia uhuru wa Tanganyika na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yaani Tanzania.