Unapo-deal na Yanga au Simba kuwa makini Sana

Jerry Muro, Manara Hawa ni spy ndani ya system ya mpira wa taifa letu msiseme sikuwasanua[emoji23]

Hapa mkuu hapana..!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa akili hizihizi za manara?au nyingine?

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Watakuambia usitutishe....ila we jamaa ni manara mtupu
 
Napuuza kila kitu ulichoandika. Ukishakuwa Yanga tu basi ni tatizo
 
Katibu mwenezi wa CCM mkoa wa DSM mstaafu na mkuu wa wilaya.Kuna ukweli fulani.Na wote walishakuwa na kesi lakini sijui ziliishaje
Kuna levels za undercover..hata kama ni kweli hao ni wale petty undercovers
 
Naunga mkono hoja
 
Sio kweli, sio kweli, sio kweli, sio kweli. Unapiga picha na kiongozi na ww huwezi jua kabisa.
Only amateurs can do that...! Not the professionals who don't need to prove anything to public...!
 
Naunga mkono serikali suala la kupiga marufuku utumiaji wa bangi.

Hili ni tatizo.

Yaani mtu avunje Sheria waziwazi aachiwe kisa ni utopolo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kundi kubwa lipo nyuma ya Manara siyo kwa sababu ya uropokaji wake! Ila ni kwa sababu halifurahishwi na namna TFF inavyo shughulika na wale wote wenye mitazamo tofauti na hiyo taasisi, pamoja na huyo rais wake wa mchongo.

Wallace Karia amejigeuza kama mungu mtu vile! Kila mwenye mawazo tofauti na yeye, basi lazima amtengenezee zengwe! Na mifano ya wahanga ni mingi!! Huu ujinga hauvumiliki hata kidogo. Kwanza amalize muda wake, aondoke.

Binafsi niliomuona ni 🚮 siku alipotumia mfano wa utundulissu, kwa kuwatisha wale wote wenye mtazamo tofauti na yeye!
 
Asee usitutishe.
Lazima sheria zifuatwe.Hakuna aliye juu ya sheria.Acheni kudharau wenye mamlaka,
Ajabu unaweza kuta aliyeandika huu upuuzi ni msomi kabisa
 
Acha kutisha watu. Leodga Tenga Yuko wapi? Au amefungwa?
 
Acha kuleta hisia za kike kike hapa.Suala ni manara na Hersi wame amedharau mamlaka
Usianze kuingiza mambo ya siasa kwani manara mwenyewe ndio hao hao wanaokejeli wapinzani
 
Hamna shukrani. Karia kawasaidia kubeba ubingwa mwaka huu kwa kumuingiza GSM kama mdhamini mwenza wa ligi ya nbc sasa mnamnanga.Mungu anawaona

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
ni mwenye akili tu... ambaye hana mambo ya ushabiki ndio atakuelewa na kujua kwamba unaongea ukweli 100%
 
Jerry Muro, Manara Hawa ni spy ndani ya system ya mpira wa taifa letu msiseme sikuwasanua[emoji23]

Hapa mkuu hapana..!
Na kama ni kweli, basi tutakuwa na mfumo wa kijinga sana wa kupata ma spy.
 
sidhani kama atamaliza muda wake vizuri... labda ahurumiwe, anakera mno... anawaza kupambana na watu badala ya maendeleo ya soka na miondominu yake, ligi inazidi kukuwa ila miundombinu bado ipo hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…