3ZOV JF-Expert Member Joined Dec 28, 2020 Posts 6,259 Reaction score 7,015 Aug 7, 2022 #41 Mambo ya vijiwe vya kahawa yanaleta humu jamii forum
M Marine creature JF-Expert Member Joined Nov 2, 2019 Posts 2,259 Reaction score 2,971 Aug 7, 2022 #42 Mkuu huku kweny mpira hupawez...tukutane kweny ule uz wa ricky boy tuangalie vijana wnavyoendelea kulana kimasiara
Mkuu huku kweny mpira hupawez...tukutane kweny ule uz wa ricky boy tuangalie vijana wnavyoendelea kulana kimasiara
D Deceiver JF-Expert Member Joined Apr 19, 2018 Posts 9,446 Reaction score 17,017 Aug 7, 2022 #43 Karia atajua hajui. It is just a matter of time or else amfungulie Manara. Kwanza Manara kifungo chenyewe hakiheshimu.
Karia atajua hajui. It is just a matter of time or else amfungulie Manara. Kwanza Manara kifungo chenyewe hakiheshimu.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Aug 7, 2022 #44 Junior counsel said: Na kama ni kweli, basi tutakuwa na mfumo wa kijinga sana wa kupata ma spy. Click to expand... Huwa tunadhani ma afisa vipenyo ni watu wa hovyo hovyo tuu
Junior counsel said: Na kama ni kweli, basi tutakuwa na mfumo wa kijinga sana wa kupata ma spy. Click to expand... Huwa tunadhani ma afisa vipenyo ni watu wa hovyo hovyo tuu
S spleen JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 4,079 Reaction score 6,788 Aug 7, 2022 #45 Mshana Jr said: True undercovers huwa hawatambulishwi wala kupiga picha na viongozi Click to expand... Hakuna Sheria Moja kuhusu undercover,wapo hadi mawaziri,wasanii na ma-MC wakubwa
Mshana Jr said: True undercovers huwa hawatambulishwi wala kupiga picha na viongozi Click to expand... Hakuna Sheria Moja kuhusu undercover,wapo hadi mawaziri,wasanii na ma-MC wakubwa
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Aug 8, 2022 #46 spleen said: Hakuna Sheria Moja kuhusu undercover,wapo hadi mawaziri,wasanii na ma-MC wakubwa Click to expand... Wapo wa kila kaliba mpaka wendawazimu lakini hawatambulikani..
spleen said: Hakuna Sheria Moja kuhusu undercover,wapo hadi mawaziri,wasanii na ma-MC wakubwa Click to expand... Wapo wa kila kaliba mpaka wendawazimu lakini hawatambulikani..