Unapoanzia uchawi ndipo sayansi inapoishia

Kwa vile ushaleta ukabila basi tuende kikabila,jiwe anatoka ukanda gani?halafu ambatanisha na copy ya vyeti vyake vya elimu orginal tuvione.
Atukome watu wa Lindi msiiieeew
 
Reactions: uth
Mshana hivi ile hali ya kuota ndoto moja siku NNE au tatu mfululizo inatokana na nini......kuna kipindi nilikua naota nafukuzwa na simba siku ya kwanza ikaishia kati siku ya pili niliendelea kuota ilipoishia Jana ....siku ya tatu hivyohvyo iliendelea ilipoishia
 
Reactions: uth
Mh maranyingi ndoto za namna huu ni maono... Kuna jambo unajaribu kufunuliwa
 
Ni kweli kaka tena sayansi hi isiyoonekana iko faster and more powerfully.

Umenikumbusha mwaka 2003 nilifanikiwa kukutana na Dragon snake (Fire snake) arusha karatu mang'ola unavukaziwa eyasi mpaka sehem inaitwa Nong'oneji. Wakati huo nilikuwa natafuta Mercury. Katika kuzungumza taarifa ziliwafikiwa wajerumani wakaletwa na waskakaji mpaka geto wanataka niwapeleke

Nakumbuka tulifly mpka huko wale jamaa na wao ni wachawi maana walikuwa na miwani flani hivi ukiivaa unaona mambo ya giza mpaka huyo snake pamoja na viumbe vingine vya ajabu ajabu lkn ukivua hiyo miwani unarudi kwenye 3D yetu unaona miti, mawe na wenzio.
 
Uchawi ni imani kali, pilika pilika zinazoambatana na matumizi ya sumu..kuamini uchawi ni ujinga..
Hujalazimishwa kuamini haya yaliyoandikwa lakini kwa sababu this is dunia na ninakuombea kwa mungu uwepo sana na uje ushuhudie uchawi kuwa upo. Niliwahi kuishi miezi sita bila kivuli wenzangu wakisimama kwenye jua wanakuwa na kivuli mimi nikisimama sina kivuli.
 
Natamani mwendelezo wa hii story sorry unaweza kuhadithia kidogo
 
Hahahahaha kivuli chako kilihakiwa aiseeeee
 
Mshana Jr, naomba uelezee hapa kwenye kinga ipatikanayo katika damu ya Yesu. Watu wenye sayansi hii, wanaichukuliaje hii
 
Reactions: uth
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…