Unapoanzia uchawi ndipo sayansi inapoishia

Tatizo hiyo sayansi ya rohoni ina mahusiano ya moja kwa moja na majini ambayo ni roho pia sasa ni bora tukomae na sayansi yetu hii ya mwilini ambayo ni proved na kila mtu anaweza kuona
Tatizo la watu hadi leo hawataki kuamini kama uchawi upo. na watu tulilishwa matango poli sana hasa kwenye dini zetu, mfano sisi wakristo baadhi ya madhehebu wanasema uchawi upo lakini tusiamini.. sasa hapo mm huwa siwaelewagi.. MAZINGAOMBWE NI MOJA WAPO YA UCHAWI, NA KIPINDI CHA NYUMA YALIKUWAGA YANALETWA ADI MASHULENI.. ALAFU LEO MTU ANASEMA HAKUNA UCHAWI.. SHEEEEET.. TUBADILIKE KWA KWEKI, UCHAWI UPO NA JINA LA YESU LINA UWEZO MKUBWA KATIKA HAYA MAMBO.. NAKUMBUKA SIKU MOJA NIKIWA SHULE YA MSINGI.... KUNA MWANAFUNZI MMOJA ALIPAGAWA NA MAPEPO... AKATOKEA JAMAA MMOJA WA IMANI FLAN AKAANZA KUOMBEA, ILA ALIKUWA ANAYAOMBA YALE MAPEPO YAMUACHIE YASIMTESE YULE MWANAFUNZI.. YAAAN ALIKUWA ANAYASUJUDIA YALE MAPEPO, YALE MAPEPO YAKATULIA KWA MDA, NA YAKAMRUDIA YULE MWANAFUNZI TENA TENA KWA NGUVU... ATATOKEA JAMAA MMOJA MLOKOLE AKAYAAMURU YALE MAPEPO KWA AMRI YA JINA LA YESU..... YALE MAPEPO YAKATOKA NDUKI, HAYAKURUDI TENA.. NILISHANGAA SANA WAKATI HUO..
 
Duh hivi hatuna list ya hawa wataalamu tuwashauri wajiunge kwa ajili ya kusukuma maendeleo?
siku zote uchawi na uganga ni nguvu za giza, na siku zote hizi nguvu zinaendana na kafara.. ili nguvu izi ziwe kubwa, kafara kubwa pengine ya damu ya mtu inahitajika... au kafara ya mtoto wako, au ndugu yako. hivyo basi ktk nguvu za giza hakuna maendeleo, amani, huko huwa ni mambo ya giza tuu.. na yachukizayo mbele za Mungu
 
Kwa nini watake kuamini?? unatak waamin kwamba mtu anaweza pita ukutani?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Reactions: uth
Uchawi haupo katika makaratasi ya serikali lakini kuanzia Ikulu hadi Kitongojini kila binadamu anaamini kuna uchawi. Tatizo dini zimekuja kutupofusha
 
Kwa nini watake kuamini?? unatak waamin kwamba mtu anaweza pita ukutani?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ivi wanavyosema mchaw anapita kwenye ukuta.... anapita physically na mwili wake huu unaogusika kwa mikono au roho yake ndo inapita, ndo inayosafiri . wajuzi niambieni..
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ivi wanavyosema mchaw anapita kwenye ukuta.... anapita physically na mwili wake huu unaogusika kwa mikono au roho yake ndo inapita, ndo inayosafiri . wajuzi niambieni..
Nafikiri labda kimawazo maana ata mimi nauwezo wa kufika kokote kwa kuwaza tu... ila physically ntakuw hapahapa nilipo[emoji28] [emoji28]
 


Kwanza ahsante alafu

mshana jr nakukubali sana
kipindi sina hata account jf

wasalimie na ndugu zako hawa


#da vinci
#mtafutaji
#zero iq
#macho ya
#wadau wote wa jf
 
Na unapoishia uchawi ndipo Mungu anapoanzia
 
Reactions: uth
Dooh
 
Nyie mnacheza nyie, mtu alikufa saa ya mazishi watu wakuona invisible thing wwkamuona nyuma ya mlango katoa tu ulimi. Mwingine akalala tu njia ya kwenda makaburini watu wanamkanyaga hawajui hadi wataalam ndio wakamuona, Nyie mnacheza nyie
Funguka
 
Kwanza ahsante alafu

mshana jr nakukubali sana
kipindi sina hata account jf

wasalimie na ndugu zako hawa


#da vinci
#mtafutaji
#zero iq
#macho ya
#wadau wote wa jf
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Kwanza ahsante alafu

mshana jr nakukubali sana
kipindi sina hata account jf

wasalimie na ndugu zako hawa


#da vinci
#mtafutaji
#zero iq
#macho ya
#wadau wote wa jf
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…