Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo la watu hadi leo hawataki kuamini kama uchawi upo. na watu tulilishwa matango poli sana hasa kwenye dini zetu, mfano sisi wakristo baadhi ya madhehebu wanasema uchawi upo lakini tusiamini.. sasa hapo mm huwa siwaelewagi.. MAZINGAOMBWE NI MOJA WAPO YA UCHAWI, NA KIPINDI CHA NYUMA YALIKUWAGA YANALETWA ADI MASHULENI.. ALAFU LEO MTU ANASEMA HAKUNA UCHAWI.. SHEEEEET.. TUBADILIKE KWA KWEKI, UCHAWI UPO NA JINA LA YESU LINA UWEZO MKUBWA KATIKA HAYA MAMBO.. NAKUMBUKA SIKU MOJA NIKIWA SHULE YA MSINGI.... KUNA MWANAFUNZI MMOJA ALIPAGAWA NA MAPEPO... AKATOKEA JAMAA MMOJA WA IMANI FLAN AKAANZA KUOMBEA, ILA ALIKUWA ANAYAOMBA YALE MAPEPO YAMUACHIE YASIMTESE YULE MWANAFUNZI.. YAAAN ALIKUWA ANAYASUJUDIA YALE MAPEPO, YALE MAPEPO YAKATULIA KWA MDA, NA YAKAMRUDIA YULE MWANAFUNZI TENA TENA KWA NGUVU... ATATOKEA JAMAA MMOJA MLOKOLE AKAYAAMURU YALE MAPEPO KWA AMRI YA JINA LA YESU..... YALE MAPEPO YAKATOKA NDUKI, HAYAKURUDI TENA.. NILISHANGAA SANA WAKATI HUO..Tatizo hiyo sayansi ya rohoni ina mahusiano ya moja kwa moja na majini ambayo ni roho pia sasa ni bora tukomae na sayansi yetu hii ya mwilini ambayo ni proved na kila mtu anaweza kuona
siku zote uchawi na uganga ni nguvu za giza, na siku zote hizi nguvu zinaendana na kafara.. ili nguvu izi ziwe kubwa, kafara kubwa pengine ya damu ya mtu inahitajika... au kafara ya mtoto wako, au ndugu yako. hivyo basi ktk nguvu za giza hakuna maendeleo, amani, huko huwa ni mambo ya giza tuu.. na yachukizayo mbele za MunguDuh hivi hatuna list ya hawa wataalamu tuwashauri wajiunge kwa ajili ya kusukuma maendeleo?
Kwa nini watake kuamini?? unatak waamin kwamba mtu anaweza pita ukutani?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tatizo la watu hadi leo hawataki kuamini kama uchawi upo. na watu tulilishwa matango poli sana hasa kwenye dini zetu, mfano sisi wakristo baadhi ya madhehebu wanasema uchawi upo lakini tusiamini.. sasa hapo mm huwa siwaelewagi.. MAZINGAOMBWE NI MOJA WAPO YA UCHAWI, NA KIPINDI CHA NYUMA YALIKUWAGA YANALETWA ADI MASHULENI.. ALAFU LEO MTU ANASEMA HAKUNA UCHAWI.. SHEEEEET.. TUBADILIKE KWA KWEKI, UCHAWI UPO NA JINA LA YESU LINA UWEZO MKUBWA KATIKA HAYA MAMBO.. NAKUMBUKA SIKU MOJA NIKIWA SHULE YA MSINGI.... KUNA MWANAFUNZI MMOJA ALIPAGAWA NA MAPEPO... AKATOKEA JAMAA MMOJA WA IMANI FLAN AKAANZA KUOMBEA, ILA ALIKUWA ANAYAOMBA YALE MAPEPO YAMUACHIE YASIMTESE YULE MWANAFUNZI.. YAAAN ALIKUWA ANAYASUJUDIA YALE MAPEPO, YALE MAPEPO YAKATULIA KWA MDA, NA YAKAMRUDIA YULE MWANAFUNZI TENA TENA KWA NGUVU... ATATOKEA JAMAA MMOJA MLOKOLE AKAYAAMURU YALE MAPEPO KWA AMRI YA JINA LA YESU..... YALE MAPEPO YAKATOKA NDUKI, HAYAKURUDI TENA.. NILISHANGAA SANA WAKATI HUO..
Uchawi haupo katika makaratasi ya serikali lakini kuanzia Ikulu hadi Kitongojini kila binadamu anaamini kuna uchawi. Tatizo dini zimekuja kutupofushaTatizo la watu hadi leo hawataki kuamini kama uchawi upo. na watu tulilishwa matango poli sana hasa kwenye dini zetu, mfano sisi wakristo baadhi ya madhehebu wanasema uchawi upo lakini tusiamini.. sasa hapo mm huwa siwaelewagi.. MAZINGAOMBWE NI MOJA WAPO YA UCHAWI, NA KIPINDI CHA NYUMA YALIKUWAGA YANALETWA ADI MASHULENI.. ALAFU LEO MTU ANASEMA HAKUNA UCHAWI.. SHEEEEET.. TUBADILIKE KWA KWEKI, UCHAWI UPO NA JINA LA YESU LINA UWEZO MKUBWA KATIKA HAYA MAMBO.. NAKUMBUKA SIKU MOJA NIKIWA SHULE YA MSINGI.... KUNA MWANAFUNZI MMOJA ALIPAGAWA NA MAPEPO... AKATOKEA JAMAA MMOJA WA IMANI FLAN AKAANZA KUOMBEA, ILA ALIKUWA ANAYAOMBA YALE MAPEPO YAMUACHIE YASIMTESE YULE MWANAFUNZI.. YAAAN ALIKUWA ANAYASUJUDIA YALE MAPEPO, YALE MAPEPO YAKATULIA KWA MDA, NA YAKAMRUDIA YULE MWANAFUNZI TENA TENA KWA NGUVU... ATATOKEA JAMAA MMOJA MLOKOLE AKAYAAMURU YALE MAPEPO KWA AMRI YA JINA LA YESU..... YALE MAPEPO YAKATOKA NDUKI, HAYAKURUDI TENA.. NILISHANGAA SANA WAKATI HUO..
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ivi wanavyosema mchaw anapita kwenye ukuta.... anapita physically na mwili wake huu unaogusika kwa mikono au roho yake ndo inapita, ndo inayosafiri . wajuzi niambieni..Kwa nini watake kuamini?? unatak waamin kwamba mtu anaweza pita ukutani?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nafikiri labda kimawazo maana ata mimi nauwezo wa kufika kokote kwa kuwaza tu... ila physically ntakuw hapahapa nilipo[emoji28] [emoji28][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ivi wanavyosema mchaw anapita kwenye ukuta.... anapita physically na mwili wake huu unaogusika kwa mikono au roho yake ndo inapita, ndo inayosafiri . wajuzi niambieni..
Tuanzie na zongo kule Tanga, hii ni aina ya uchawi unaokaa kwenye macho..... Mwenye hili fataki la zongo akikuangalia tu tayari transmission inakuwa imefanyika... Ni mfumo fulani wa wireless communications... Nusu saa kubwa utaanza kuumwa tumbo na kuharisha sana! Tiba yake ni nini? Unga fulani imekaa kama magadi unaitwa MAKATA... ukishakunywa hiyo dakika kumi nyingi umeshapona! SAYANSI hapa ingefanya nini? Ingetumia mlolongo mrefu wa kutengeneza bacteria wenye virus wa ugonjwa wa kuhara... Ingetafutwa njia na kumwambukiza mtu hao virus kisha aanze kuumwa... N baada ya hapo ungeanza mchakato wa matibabu.... Uchawi hauna longolongo zote hizo ni hit n run... Finish.... Na infant wireless transmission theory ni copy n paste toka kwenye uchawi
Mfano wa pili kupaa angani ama kusafiri..
Mchawi ana njia tatu rahisi sana
1.kwa kutumia kifaa kama ungo, fimbo ama ungo. Usafiri wa angani
2. Kutumia mnyama kama fisi nk.. Usafiri wa nchi kavu.
3. Kutumia wireless transmission.. Unajiandaa kisha unafumba macho... Sekunde kadhaa ukifungua umeshafika.. Hii inaitwa serve all purpose.. Mwendokasi wake ni zaidi ya supersonic speed... Kwa usafiri huo kama ni sayansi ingetumia mlolongo mrefu wa kutengeneza ndege magari na vyombo vya majini.. Na ingechukua muda na taratibu nyingi...
Mfano wa tatu.... Kuingia ndani kwa mtu... Kupitia pembe ya nyumba ama chumba chako... Mchawi ana uwezo wa kuingia na kukufanya chochote atakacho na akaondoka salama ukiwa wala hujui ulichifanyiwa.. Utastuka akishaondoka... (Usiwaze popobawa) sayansi haina uwezo huo... Wamejaribu wameshindwa..
Mfano wa NNE fumanizi la kunasiana... Ama kunasishwa mziho au kitu ulichoiba... Hii magnetism theory bado sana sayansi kufika huku....
Sayansi ina limitations nyingi kuliko uchawi.. Sayansi ni ubunifu wa kibinadamu kukopi nguvu asili zisizoonekana lakini zinafanya kazi na matokeo yanaonekana... Inapoishia sayansi ndipo uchawi unapoanzia.. Na kwakuwa sayansi ndio inaiga na kuhawilisha hivyo kamwe haiwezi kutenda kama halisi.....
Tofauti kubwa iliyopo kati ya SAYANSI na UCHAWI ni ITHIBATI... sayansi ina ithibati japo si kwa aslimia miamoja... Uchawi hauna ITHIBATI lakini matokeo yake ni asilimia mia moja.... Sababu ni moja tu... Uchawi una asili ya ulimwengu wa roho... Na ulimwengu wa roho ndio ulianza kabla ya ulimwengu wa macho ulimwengu wa sayansi....
Kiumbaji binadamu ndio kiumbe wa mwisho kuumbwa hivyo hata awe mjuzi na mbunifu Kiasi gani hataweza kufanya kitu kwa mafanikio ya asilimia mia moja bila kugusa ulimwengu wa roho... Ukisoma The mason doctrine utanielewa vema....
Asubuhi njema!
[emoji23][emoji23]mjini atuna ayo mamboduh angalia usigeuzwe kobogo sio mtu poa huyo
DoohKwanza kwa taarifa yako benki zinaibiwa sana ila kwakuwa kunakuwa hakuna palipovunjwa watasemaje wameibiwa?
Pili benki huwa zinajitahidi sana kuficha wizi unaotokea ili kuwapa wateja imani ya usalama wa pesa zao
Tatu Mchawi wa kweli hahitaji kwenda kuiba pesa kwakuwa mahitaji anayotaka anayapata bila hata pesa
NNE Mchawi hahitaji kwenda NECTA kuiba majibu... Kama akihitaji mwanae afaulu atamletea majibu kwa njia ya Bluetooth ya kilozi au ata insert majibu automatically kwenye medula yake
FungukaNyie mnacheza nyie, mtu alikufa saa ya mazishi watu wakuona invisible thing wwkamuona nyuma ya mlango katoa tu ulimi. Mwingine akalala tu njia ya kwenda makaburini watu wanamkanyaga hawajui hadi wataalam ndio wakamuona, Nyie mnacheza nyie