Science rocks!! [emoji1491][emoji1487] Software, Networking, Neurosurgery, Microbiology, Physiology, Anatomy, Genetics, Pharmacology, Mechanics, Energy (power/electricity), Aviation Technology, Nuclear Physics etc..
Halafu guess whaaat!!.., Science is not yet done, kwa sababu ni wazi bado haijafikia efficiency (ufanisi) ya hata 60% ya kile ambacho inaweza.
Na science sio kitu kipya, ni systematic study of nature... Watu waisoma na kuichunguza asili ya vitu, na kujiuliza kwa majaribio ya kitaalamu kwa nini hiki kipo hivi na sio vile, Je nikiweka hivi kitakuwaje?
Humu kwenyewe JF hapa tunajidai sababu ya Science (Semiconductors [silicon], Transistors, Electricity, Software na Computer Networking) ndo inafanya INTERNET iwepo kwa kushirikiana na IONOSPHERE.
ila UCHAWI NI UJINGA na IMANI POTOFU.. hasa hasa Ujinga wa RAIA sie katika nchi masikini wa kushindwa kujiuliza na kujipambanua vizuri hivyo tunajikuta tunaamini Vitu flani ambavyo VIMEPOTOKA (vya uongo vilivyo kinyume na ukweli, Mazuzu).
No wander Europeans walitutawala kirahisiii, sababu wengi tulikuwa Mazuzu tukiamini katika Kuroga.
That's why Battles nyingi Europeans walishinda, Na Battles walizoshindwa ni zile ambazo walikuwa Outnumbered au kuwa Ambushed!
Lazma washinde nyingi maana wanakutana na Zuzu anayewekeza katika kuamini Atapaa kwa Ungo na Atabadili Risasi kuwa Maji.. THIS IS RIDICULOUS!! Poor belief!!
Ajabu zaidi watu mazuzu hapo yanaamini hizo misleading belief mpaka kwenye Sports. Badala ya kuwekeza katika Vipaji na Miundombinu (viwanja etc.).. Na pia kuamini kuwa Sports michezo ya kutumia Makosa ya mpinzani wako kimichezo, ni ushindani ni mshindi ni mmoja.
Daah! Watu weusi sie. it is what it is!!
itachukua muda kupunguza hizi imani miongini mwa watu weusi wa Africa, probably karne Moja kuanzia sasa..
Maana hata Europe in the ancient times people used to believe in imani potofu na kadri muda ulivyozidi kaenda wengi wao wakaona hizo imani ni Uzuzu tu hazina kitu zaidi ya Kudumaza Akili.
Imagine mtu anaua Albino eti kisa tu kadanganywa atatajirika, Damn it! Ualibino ungekuwa Utajiri, basi the richest people wangekuwa ni Albino wao wenyewe..
Na kuna mtu anaamini akivaa the so called "hirizi" basi Risasi ikimlenga haipenyi mwilini, RIDICULOUS!! Mtu anashindwa kujiongeza tu kuwa Labda RISASI ikukose tu, ila kama Risasi itakulenga na ikutane na ngozi yako inapenya vizuri tu Hata uwe ni "Hirizi" tisa.... Labda mlengaji akukose tu, na Of course kukosa ni kawaida, mwanadamu hajakamilika na hawezi kulenga kila "Target" yake...
Sie Africans labda tukomalie Tiba Asilia (HERBALISM) kwa kutumia Mimea (Majani, MagomeMiti na Mizizi) kwa kutibu Magonjwa.
There is difference between Herbalism and the so called Uchawi/Witchcraft.
Witchcraft kwa wenzetu wa Ughaibuni wao wamebaki kutumia kama mawazo (ideas) ya Kufikirika na Kusadikika tu kwenye TV-Series na Movies zao Kiburudani Zaidi.... Hasa baada ya wao huko Ughaibuni kupata civilization na kuona uchawi ni Uzuzu flani uliopotoka (misleading beliefs).
Africa pagumu sana, unakatiza kitaa unakutana na Bango la Mganga Ramli anasema atakusaidia Ufaulu shuleni... Hahahah!! Pure Mathematics na Advanced Physics unataka uzifaulu kwa Karumanzila (ramli na mizizi) kweli.. KICHEKESHO!!