Unapoanzia uchawi ndipo sayansi inapoishia

Unapoanzia uchawi ndipo sayansi inapoishia

Naona hujanielewa vema ngoja nikuulize hivi
Je ninini kinafanya mimi na wewe tunawasiliana hapa
Je ni simu
Je ni network
Je ni charge
Je ni bundle
Je ni storage
Je ni vidole
Je ni akili? Nknk?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mawasiliano ni mfumo na mtindo wa kufikisha taarifa kutoka kwa mtu (watu) mmoja kwenda kwa mtu (watu) mwingine. Vifaa vya Kielektroniki vya Mawasiliano ni pamoja na Networks Devices na Computer (mobile phone, laptop, desktop etc) etc.
Computer (simu) ni Mashine na kazi ya Mashine ni kurahisisha kazi. Tunaihitaji hii Mashine ili itusaidie kurahisisha kazi na tuweze kutumia AKILI zetu ku-share taarifa (kuPost, kucomment, Likes etc.)
Obviously, huwezi tumia AKILI yako kuPost au KuComment kwa kutumia SIMU (mobile phone) kama SIMU yako haitakuwa na CHARGE na NETWORK (wired au wireless).
NETWORK (internet/interconnected networks) hufanya kazi ya kuunganisha SIMU zetu kwenye SERVER-computers za JamiiForums ambazo zinawekewa SOFTWARE za JF zinazotuwezesha ku-post picha,ku-comment, ku-share, ku-like au kuPost text, video etc..
BUNDLE tunalipia ili makampuni ya simu yaturuhusu tutumie computer network system (mtandao) zao ili tuweze kuunganishwa na Servers (computer) za JamiiForums.
STORAGE ni muhimu maana ndo kumbukumbu yenyewe. TEXT (posts, comments, replies, Likes ), PICHA, VIDEO etc. zote zinatunzwa kwenye STORAGE za Server-Computers za JamiiForums (JF).
Mtumiaji anatumia AKILI yake na VIDOLE kubofya simu ili kuiamuru SIMU (computer) iliyounganishwa kwenye Mfumo wa Mawasiliano.
Mfumo unajumuisha SIMU (computer), CHARGE/POWER (betri, umeme), NETWORK (wired au wireless), NETWORK DEVICES (routers, switches etc), SERVER (storage, input, processing, output), SOFTWARE/APPS etc..
Cha muhimu hapa ni AKILI, vifaa ni viwezeshaji tu. Na Vifaa (simu, networks etc) huundwa kwa kutumia AKILI pia.
Hivyo kuna AKILI ya MTUMIAJI WA KAWAIDA na AKILI YA MUUNDAJI WA VIFAA VYA MAWASILIANO YA KOMPYUTA.
Maana hata CHATBOTS (zile robotic-software zinazo-comments zenyewe) huwa zimetengenezwa kwa kujaribu kuzifanya ziweze kuwa na maamuzi (Akili Bandia a.k.a Artificial Intelligence) yao wenyewe na ku-post au ku-reply messages kama vile akili ya Mwanadamu.
 
Mawasiliano ni mfumo na mtindo wa kufikisha taarifa kutoka kwa mtu (watu) mmoja kwenda kwa mtu (watu) mwingine.
Obviously huwezi tumia AKILI yako kuPost, KuComment kwa kutumia SIMU (smartphone ambayo nayo computer pia) kuwasiliana kama smartphone haitakuwa na CHARGE na NETWORK (wired au wireless)..
Sababu NETWORK huunganisha Simu (computer) zetu ili ziweze kuwasiliana na Server-Computers na ku-share taarifa (kupost, comments, likes etc) na JamiiForums.
BUNDLE tunalipia ili makampuni ya simu yaturuhusu tutumie computer network system (mtandao) zao ili tuweze kuunganishwa na Servers (computer) za JamiiForums.
STORAGE ni muhimu maana ndo kumbukumbu yenyewe. TEXT (posts, comments, replies, Likes ), PICHA, VIDEO etc. zote zinatunzwa kwenye Storage za Server-computers za JF.
AKILI inatumika na mtu ili aweze kupost, kucomment etc kwa kutumia VIDOLE vyake kwenye SIMU yake iliyo na CHARGE, na SIMU iwe imeunganishwa na NETWORK (internet/ interconnected networks) ili iweze kufikisha Taarifa na Kuwasiliana na SERVERS za JamiiForums ambazo zinatunza na kuhifadhi Software za Server-computer za JF, ambapo kwenye STORAGE ya Picha, Comments (moani), Video etc. huifandhiwa.
Therefore, computer (simu) ni mashine na kazi ya machine ni kurahisisha kazi. Tunaihitaji hii mashine ili itusaidie kurahisisha kazi ya ku-share taarifa (kuPost, kucomment, Likes etc.)
Mtumiaji anatumia AKILI yake na VIDOLE kubofya simu ili aimuru SIMU (computer) iliyo unganishwa Mfumo.
Huu Mfumo unajumuisha yote SIMU (computer), CHARGE (betri, umeme), NETWORK (wired au wireless), SERVER (storage, input, processing, output) etc..
Cha muhimu hapa ni AKILI, vifaa ni viwezeshaji tu. Na Vifaa (simu, networks etc) huundwa kwa kutumia AKILI pia.
Hivyo kuna AKILI ya MTUMIAJI WA KAWAIDA na AKILI YA MUUNDAJI WA VIFAA VYA MAWASILIANO YA KOMPYUTA.
Maana hata CHATBOTS (zile robotic-software zinazo-comments zenyewe) huwa zimetengenezwa kwa kujaribu kuzifanya ziweze kuwa na maamuzi yao wenyewe na ku-post au ku-Reply messages kama vile akili ya Mwanadamu.
Naona tunazidi kupanua mjadala lakini najaribu kukuongoza uone sayansi inapoishia na uchawi unapoishia
Kwa mfano nikikuuliza akili ninini utanijibuje ?
Ama nikukuliza kama una AKILI ? Au huna akili utanijibuje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona tunazidi kupanua mjadala lakini najaribu kukuongoza uone sayansi inapoishia na uchawi unapoishia
Kwa mfano nikikuuliza akili ninini utanijibuje ?
Ama nikukuliza kama una AKILI ? Au huna akili utanijibuje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili ni uwezo wa kutumia ubongo kufikiri, kuchanganua mambo na kufanya maamuzi ili kuyamudu mazingira. Utotoni kuelekea ukubwani Ubongo hukua (grow) na akili hu-mature (pevuka). ikiwa tu kama mtu hatapata hitilafu katika Ubongo na Central Nervous System (CNS) kiujumla.
Akili tunazaliwa nazo ila Maarifa tunajiongezea kutokana na kujifunza na kufanya "REASONING" na "CRITICAL THINKING"...
Akili tunatofautiana kati ya Mwanadamu mmoja na mwingine. Na Maarifa pia tunatofautiana.
Akili pia humuwezesha mwanadamu kujitengenezea Maarifa.
Maarifa hufanya Akili za binadamu ziwe na PRIORITIES tofauti tofauti kwa watu tofauti.
Maana yapo Maarifa Mengine ni POTOFU yamepotoka na yamesambaa kwa Watu.. Kwa Mfano, "unaweza kuwa tangu Utotoni ukawa unaamini kuwa JUA LIKIWAKA na MVUA IKINYESHA, basi inamaanisha SIMBA ANAZAA" ila Mtu ukakaa na kujiuliza kuna uhusiano gani? Hapo ukachangua na kukataa hiyo hoja kwa CONCRETE REASONS and not HEARSAY.
NOTE:- i stand to be corrected.
Suala la nani ana akili nani hana linategemea mambo mengi.. Sababu we are all crazy and psycho in one way or another.
By default almost every human being is built in their core-drive to believe that they are destined for Greatness and see themselves as special ones compared others... Hii ni nzuri for "Survival" of the human beings, sababu inatupa binadamu ile "purpose" kwamba "kesho" itakuwa bora.
Mara nyingi ni Rahisi kutambua Akili kubwa kupitia uwezo wa Kufanya CREATIVITY kwa "INNOVATION" na "INVENTION" katika fani mbalimbali.
Watu ambao wanafanya INNOVATION na INVENTION kwenye fani za SCIENCE, TECHNOLOGY & ENGINEERING ndo huwa zaidi mara nyingi kama watu wenye Akili (IQ) kubwa sana.
Maarifa hutufanya tuwe na PRIORITIES tofauti tofauti maishani..
Hivyo kuwa na Akili Kubwa (genius) haimaanishi kwamba ndo uta-perform vizuri kwenye kila idara mfano Business, Entertainment, Painting, Sports, Science & Engineering etc. Maana watu tuna Priorities tofauti tofauti..
Ofocoz we all need money lakini Kila mmoja ana Kipaumbele, Hobby na Passion yake maishani if you take money out of the equation
 
Akili ni uwezo wa kutumia ubongo kufikiri, kuchanganua mambo na kufanya maamuzi ili kuyamudu mazingira. Utotoni kuelekea ukubwani Ubongo hukua (grow) na akili hu-mature (pevuka). ikiwa tu kama mtu hatapata hitilafu katika Ubongo na Central Nervous System (CNS) kiujumla.
Akili tunazaliwa nazo ila Maarifa tunajiongezea kutokana na kujifunza na kufanya "REASONING" na "CRITICAL THINKING"...
Akili tunatofautiana kati ya Mwanadamu mmoja na mwingine. Na Maarifa pia tunatofautiana.
Akili pia humuwezesha mwanadamu kujitengenezea Maarifa.
Maana yapo Maarifa Mengine ni POTOFU yamepotoka na yamesambaa kwa Watu.. Kwa Mfano, "unaweza kuwa tangu Utotoni ukawa unaamini kuwa JUA LIKIWAKA na MVUA IKINYESHA, basi inamaanisha SIMBA ANAZAA" ila Mtu ukakaa na kujiuliza kuna uhusiano gani? Hapo ukachangua na kukataa hiyo hoja kwa CONCRETE REASONS and not HEARSAY.
NOTE:- i stand to be corrected.
Suala la nani ana akili nani hana linategemea mambo mengi.. Sababu we are all crazy and psycho in one way or another.
By default almost every human being is built in their core-drive to believe that they are destined for Greatness na kujiona yeye ni bora kuliko wengine...
Mara nyingi ni Rahisi kutambua Akili kubwa kupitia uwezo wa Kufanya CREATIVITY kwa "INNOVATION" na "INVENTION" katika fani mbalimbali.
Watu ambao wanafanya INNOVATION na INVENTION kwenye fani za SCIENCE, TECHNOLOGY & ENGINEERING ndo huwa zaidi mara nyingi kama watu wenye Akili (IQ) kubwa sana.
Maarifa hutufanya tuwe na PRIORITIES tofauti tofauti maishani..
Hivyo kuwa na Akili Kubwa (genius) haimaanishi kwamba ndo uta-perform vizuri kwenye kila idara mfano Business, Sports, Science & Engineering etc.
Ofocoz we all need money lakini Kila mmoja ana Kipaumbele, Hobby na Passion yake maishani if you take money out of the equation
[emoji1545]
IMG-20201013-WA0154.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dont quote me wrong...una maarifa mengi na unahimili mijadala ...you have my respect [emoji1534]

Sent using Jamii Forums mobile app
Much respect kwako pia.. Sababu hata nawe unayo Maarifa mengi. Na its good to share and discuss ideas na watu kama nyie sababu midahalo au mijadala kama hii inasaidia sana kwenye kujifunza mengi hasa mtu akiwa ni Open-minded na Mjenga hoja na kuleta "points"...
Waswahili tunasema Elimu (kujifunza) Haina mwisho, sababu kujifunza vitu hakuishagi maana hakuna mtu anayejua kila kitu.
Learning (education) is a continuous process.
 
Learning (education) is a continuous process....POWERFUL ONE![emoji1548][emoji1534][emoji1545]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sayansi ya kiza ama ya roho isiyo na ithibati za kuthibitisha katika ulimwengu wa mwili
Mkuu Mshana Jr naomba unisaidie hapa-, Kwa nini asilimia kubwa ya wachawi huwa ni masikini wakubwa, Yaani utamkuta bibi/ babu au mganga wa kienyeji anaogopeka Sana mtaani/ kijijini na kweli akiamua jambo lake linakuwa liwe ni la heri au la shari, lakini unakuta anakuwa omba omba kwanini asiutumie uchawi wake kujiboreshea maisha?
 
Uchawi ni nguvu hasi hivyo hauwezi kuwa na jema ...lakini vilevile uchawi una categories zake...hao wa kuomba omba ni zuga tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchawi ni nguvu hasi hivyo hauwezi kuwa na jema ...lakini vilevile uchawi una categories zake...hao wa kuomba omba ni zuga tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Habari kaka Mshana Jr naomba kujua kuhusu hili. Mtu aliyeamka kiroho (Spiritual Awakening) wachawi wanaweza kumzuru/ kumroga?
Na je, Shehe au Ustadhi anaweza akampiga kipande au kumtumia jini na likamdhuru? nataka nijuwe ni nani huwa anakuwa zaidi ki uwezo Kati ya hawa.
 
Siwezi kuwa mchawi tu,lakini nisiloge WATU...yaani mi kazi yangu NI kuruka tu na ungo...sehemu tofautitofauti...NAKULA BATA,NYIE MNAINGIA KTK VX ZENU MI HUYOO HOME NA UNGO WANGU..Hii inawezekana?

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Hapana kabisa... Roho ina nguvu sana inapokuwa activated ...hivyo nguvu hasi yoyote haiwezi kukudhuru
 
Siwezi kuwa mchawi tu,lakini nisiloge WATU...yaani mi kazi yangu NI kuruka tu na ungo...sehemu tofautitofauti...NAKULA BATA,NYIE MNAINGIA KTK VX ZENU MI HUYOO HOME NA UNGO WANGU..Hii inawezekana?

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Huwezi kuwa dereva kama hujui kuendesha gari....huwezi kuendesha gari kama haina kimojawapo kati ya hivi
Funguo
Matairi
Mafuta
Engine nknk
Hayo mambo ya kuruka na ungo tayari ni uchawi...labda sema hivi unataka kuwa mwanga tuu..
 
Habari kaka Mshana Jr, naomba kuuliza. Je, inawezekana kufungua Chakra ya Third eye huku umekaa kwenye kiti tofauti na ule mkao wa ki sanskrit wa kukunja miguu chini?

Swali la pili. Je, Astral projection inafungua kweli Third eye?, au third eye inafunguliwa na meditation peke yake tu?, na kama inafunguliwa na meditation tu inakuwaje wanasema aliyefanya AP atakuwa anao uwezo wa kuona vitu visivyo onekana, kusikia sauti ya mawazo ya mtu na powers nyingi tu, au uwezo huo atakuwa nao baada ya kutoka tu, akisharudi kwenye mwili wake anakua hana uwezo huo maadamu hajafungua third eye kwanza.

Naomba ufafanuzi wako mkuu kwa maswali yote mawili.
 
Back
Top Bottom