Benzodiazepine
JF-Expert Member
- Oct 18, 2018
- 644
- 718
Mawasiliano ni mfumo na mtindo wa kufikisha taarifa kutoka kwa mtu (watu) mmoja kwenda kwa mtu (watu) mwingine. Vifaa vya Kielektroniki vya Mawasiliano ni pamoja na Networks Devices na Computer (mobile phone, laptop, desktop etc) etc.Naona hujanielewa vema ngoja nikuulize hivi
Je ninini kinafanya mimi na wewe tunawasiliana hapa
Je ni simu
Je ni network
Je ni charge
Je ni bundle
Je ni storage
Je ni vidole
Je ni akili? Nknk?
Sent using Jamii Forums mobile app
Computer (simu) ni Mashine na kazi ya Mashine ni kurahisisha kazi. Tunaihitaji hii Mashine ili itusaidie kurahisisha kazi na tuweze kutumia AKILI zetu ku-share taarifa (kuPost, kucomment, Likes etc.)
Obviously, huwezi tumia AKILI yako kuPost au KuComment kwa kutumia SIMU (mobile phone) kama SIMU yako haitakuwa na CHARGE na NETWORK (wired au wireless).
NETWORK (internet/interconnected networks) hufanya kazi ya kuunganisha SIMU zetu kwenye SERVER-computers za JamiiForums ambazo zinawekewa SOFTWARE za JF zinazotuwezesha ku-post picha,ku-comment, ku-share, ku-like au kuPost text, video etc..
BUNDLE tunalipia ili makampuni ya simu yaturuhusu tutumie computer network system (mtandao) zao ili tuweze kuunganishwa na Servers (computer) za JamiiForums.
STORAGE ni muhimu maana ndo kumbukumbu yenyewe. TEXT (posts, comments, replies, Likes ), PICHA, VIDEO etc. zote zinatunzwa kwenye STORAGE za Server-Computers za JamiiForums (JF).
Mtumiaji anatumia AKILI yake na VIDOLE kubofya simu ili kuiamuru SIMU (computer) iliyounganishwa kwenye Mfumo wa Mawasiliano.
Mfumo unajumuisha SIMU (computer), CHARGE/POWER (betri, umeme), NETWORK (wired au wireless), NETWORK DEVICES (routers, switches etc), SERVER (storage, input, processing, output), SOFTWARE/APPS etc..
Cha muhimu hapa ni AKILI, vifaa ni viwezeshaji tu. Na Vifaa (simu, networks etc) huundwa kwa kutumia AKILI pia.
Hivyo kuna AKILI ya MTUMIAJI WA KAWAIDA na AKILI YA MUUNDAJI WA VIFAA VYA MAWASILIANO YA KOMPYUTA.
Maana hata CHATBOTS (zile robotic-software zinazo-comments zenyewe) huwa zimetengenezwa kwa kujaribu kuzifanya ziweze kuwa na maamuzi (Akili Bandia a.k.a Artificial Intelligence) yao wenyewe na ku-post au ku-reply messages kama vile akili ya Mwanadamu.