Unapoanzia uchawi ndipo sayansi inapoishia

kitu ambacho huwa mnashindwa kuelewa ni kwamba, hata maarifa yoote haya ya siku hizi yameshakuwepo tangu enzi huko kwenye ulimwengu wa kishetani. hata magari mapya hasa ya siku hizi mengi yanakuwa designed kuzimu ila huku yanakuja kwa kupitia watu wao tu ambao sisi tunaamini ndio wenye uwezi mkubwa kufikiri kumbe wamefikirishwa. ukiangalia magari mengi ya kisasa siku hizi yote yana sura ya nyoka....ukiangalia pale mbele, taa zake zilivyo na gari ikikuangalia ni mfano wa nyoka. kuna maana yake kubwa sana ambayo wengi hamuwezi kujua, endeleeni tu kupanda, na hakuna jinsi ya kuendelea kuyatumia tu, Mungu anatusaidia, ila ni matunda ya kuzimu.

chukua rav4 brand ya nyuma (sio hii ya 2020 etc), angalia range rover, angalia cruiser, angalia magari ya pesa nyingi yale ya italia na ulaya na marekani, yote utaona yana sura ya nyoka.
 
Habari mkuu Mshana Jr hivi hata mtu aliyetupiwa uchawi wa aina yoyote ile kwenye mwili wake anaweza kufungua the Third eye (hata kama anajuhudi za kufanya meditation) au mpaka ajitibie kwanza ndipo atafanikiwa?
Hebu soma hii kwanza
 
Vilevile akili inapofikia upeo wa mwisho wa kufikiria wazo la Mungu linatawala. Watu wenye uwezo mkubwa mara nyingi wanafikiri namna ya kuvumbua, kupiga magoti na kusali kwake ni kashfa.
 
Na ndio msingi wa sayansi nyingine zote
Samahani tena mkuu Mshana Jr hivi kwa mtu mwenye marohani (Majini) kichwani anaweza kufungua jicho la tatu (na kufungua chakras/kuamsha Nguvu ya Kundalini kwa kupitia meditation?)
Maana nimesikia mahali Nguvu ya Kundalini inawaunguza Majini na wenyewe hawatokubali lazima muachane vibaya nikaogopa
 
Hiyo ni kuingia kwenye vita na hayo madude kwakuwa hayako tayari uwe sawa na yao
 
Mzee umeua kabisa nimekuelewa sana mkuu. Nahic utakua na haiba ya ualimu. Maana umeeleza vitu vimeeleweka vzr
 
Aisee inawezekana ikawa wengi... Mkafiri unanuka kuliko kimavi
Nimekumbuka kule upareni kuna mti unaitwa mnuka mavi, unanuka ukichomwa balàa. Tulikuwa tunaabiwa ukiuchoma mtafarakana familia nzima. Sijui ni kweli au walikuwa wanatutisha tu
 
Nimekumbuka kule upareni kuna mti unaitwa mnuka mavi, unanuka ukichomwa balàa. Tulikuwa tunaabiwa ukiuchoma mtafarakana familia nzima. Sijui ni kweli au walikuwa wanatutisha tu
Ndio huo huo mkafiri.. Unafarakanisha mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…