Unapoanzia uchawi ndipo sayansi inapoishia

Mkuu Mshana Jr ni kipindi kirefu sasa napoteza ela ktk mazingira ya ajabu, elf 5, 10, 20 mpaka 50 kama nna ela nyingi mfukoni, yaani naweza kuweka ela mfukoni leo kesho au jion nahesabu imepungua hadi nimeshaona kawaida, inawezekana nguvu za giza au ni nini?
 
Umepanga vizuri , ndio ulimwengu wa roho kuamkia leo wamenichana sare saba nimeamka nimechoka sana na huenda nilitolewa nje. Mkuu unajua kadawa ka kuwakomesha? Au niwaone life! Ni kwa nini wasiingie benki na kuchukua pesa??
 
Salute, mkuu nimekusoma, ni kweli kila kitu tunachokiona kuna siri kubwa nyuma ya pazia!!
 
Mmh kuna jambo si la kawaida hapo.....
 
Umepanga vizuri , ndio ulimwengu wa roho kuamkia leo wamenichana sare saba nimeamka nimechoka sana na huenda nilitolewa nje. Mkuu unajua kadawa ka kuwakomesha? Au niwaone life! Ni kwa nini wasiingie benki na kuchukua pesa??
Hata wakienda kuiba bank hutajua... Nikikupa dawa ya kuwaona utaishia kuitwa ama kuwa chizi kabisa
 
Sasa mkuu mshana nauliza tena kwamba inawezekana mtu akawa analindwa na mizimu ya babu zake bila yeye kujua? Yaani anafika wakati shida zinamsonga ila zinayeyuka zenyeye bila yeye kutegemea?

Na inawezekana mtu akaishi au kuzaliwa na kukulia kwenye familia ya kichawi bila kugundua kwamba baba mama au bibi na babu ni wachawi??

Nini alama ya mtu mchawi na tutamtambuaje?
 
Yote yanawezekena pia ila katika hatua za udogoni ukiwa mkubwa utaona vitu vinafanyika nyumbani ama vinafanywa na mzazi ambavyo havina majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…