mme wa mtu hapana wacha nipambane na hawa senior bachelors
Safi sanaKikao cha mwisho cha Senior bachelors pale Magoroto tulikubaliana kuwa tutaendelea kushake well before use hadi pale kikao kingine kitakapoitishwa malawi kwa polepole...
Enjoy the ride mrembo, umechagua fungu sahihi sana kwa ustawi wa furaha yako.
Aah wapi at this point kwakweli mme wa mtu simuwezi, mambo ya kufichana ficha mimi siwezi, mtu huwezi mpigia simu unavyotaka huwezi mtumia ki sms kitamu unavyo taka, no ka video call usiku, mme wa mtu hapana wacha nipambane na hawa senior bachelors
Mbingu utaisikia kwa jirani mkuuMimi mke wa mtu niliyonae huna anapendaga kufinyia ndani hivyo code yetu wote tunayo anza nayo conversations ni "NDANI"
Hamna lolote uliloongea hapa
Hamna lolote uliloongea hapa
Hizi ni pin code zako #luckylineWachepukaji kazi mnayo, kuna dada anachepuka na mme wa mtu ni kiboko, sms zake huwezi zielewa wanazijua wao wenyewe.
Anaweza andika no 5 kumbe hii 5 ni salamu, na mme anajibu kwa no dah watu ni wahuni.
Akiandika 2 maana yake anamuuliza alipo[emoji23]
Sio zangu ndugu mimi wanaume za watu sinaga mazoea nao. Sema hujafa hujaumbika ikitokea huko mbele nikazama huko nitazitumiaHizi ni pin code zako #luckyline
Kuna dada mmoja ofisini alikuaga anaongea kama wewe dada Karusii. Unakuta tuko wengi ofisini sasa si unajua tena stori watu wanaanza kuongea kuhusu michepuko basi yeye ataanza kukemea, anakua mkali...! " Ooh, mtu umeoa/olewa utakuaje na mtu mwingine..?" "Mapenzi ni kwa mtu mmoja tuu..." " Penzi haligawanyiki.." "Haiwezekani mtu mwenye akili timamu uchepuke.." Yani alikua anakasirika hadi anaondoka kabisa hilo eneo.Yote hayo ya nini jamani?
Hivi kuna mapenzi zaidi ya kila mtu na wake kweli ambae unakuwa huru kuongea nae muda wowote, kujiachia nae na kulisogeza li life la ukweli jamani?
Ama the forbidden fruit is the sweetest kuna ka utamu flani ka kuibiana mapenzi?
Mkuu unapata dhambi aisee si muache ujue unavyo Fanya sio Vizuri SASA subiri upakuliwe mwenyewe akijua Ila wake za watu watamu aisee alafu wanakuwaga wasafiii na utamu udambwi udambwi km woteKuna dada mmoja ofisini alikuaga anaongea kama wewe dada Karusii. Unakuta tuko wengi ofisini sasa si unajua tena stori watu wanaanza kuongea kuhusu michepuko basi yeye ataanza kukemea, anakua mkali...! " Ooh, mtu umeoa/olewa utakuaje na mtu mwingine..?" "Mapenzi ni kwa mtu mmoja tuu..." " Penzi haligawanyiki.." "Haiwezekani mtu mwenye akili timamu uchepuke.." Yani alikua anakasirika hadi anaondoka kabisa hilo eneo.
Basi bana... ikafika kipindi tukapataga kazi fulani ikawa ni lazima mimi na yeye tuwe tunabaki ofisini kila siku kuifanya kwenye computer. Kusema kweli mimi nilikua na behave vizuri tuu sema sasa ile kukaa wote karibu kwa mda mwingi mpaka usiku, tukajikuta tunaanza kuongea mambo mengi, saa nyingine tunakula pamoja, mara tumeshikana mikono, mara kaniegemea, siku isiyo na jina mara hamad! Tumekiss!!!
Tuseme tu ni zaidi ya miaka minne sasa tunaendelea kumegana kwa siri sana..! Binafsi nimeshafanya effort kadhaa za kuvunja uhusiano lakini mwenzangu akiona tu dalili kama nataka kumpotezea aisee anakuja juu balaa hataki kabisa kusikia!
Kwahiyo haya mambo yanatokeaga tu sometimes wala hatupangi.
Dah ndio ivyo sasa mkuu demu mwenyewe hataki tuachane..Mkuu unapata dhambi aisee si muache ujue unavyo Fanya sio Vizuri SASA subiri upakuliwe mwenyewe akijua Ila wake za watu watamu aisee alafu wanakuwaga wasafiii na utamu udambwi udambwi km wote
Saa nyingine inatokea tu mkuu.Na uchepukaji wangu wote,
MKE wa mtu kwakweli hapana
Na uchepukaji wangu wote,
MKE wa mtu kwakweli hapana[emoji120]
Kwa hiyo na mie siku yangu ipo sio?Kuna dada mmoja ofisini alikuaga anaongea kama wewe dada Karusii. Unakuta tuko wengi ofisini sasa si unajua tena stori watu wanaanza kuongea kuhusu michepuko basi yeye ataanza kukemea, anakua mkali...! " Ooh, mtu umeoa/olewa utakuaje na mtu mwingine..?" "Mapenzi ni kwa mtu mmoja tuu..." " Penzi haligawanyiki.." "Haiwezekani mtu mwenye akili timamu uchepuke.." Yani alikua anakasirika hadi anaondoka kabisa hilo eneo.
Basi bana... ikafika kipindi tukapataga kazi fulani ikawa ni lazima mimi na yeye tuwe tunabaki ofisini kila siku kuifanya kwenye computer. Kusema kweli mimi nilikua na behave vizuri tuu sema sasa ile kukaa wote karibu kwa mda mwingi mpaka usiku, tukajikuta tunaanza kuongea mambo mengi, saa nyingine tunakula pamoja, mara tumeshikana mikono, mara kaniegemea, siku isiyo na jina mara hamad! Tumekiss!!!
Tuseme tu ni zaidi ya miaka minne sasa tunaendelea kumegana kwa siri sana..! Binafsi nimeshafanya effort kadhaa za kuvunja uhusiano lakini mwenzangu akiona tu dalili kama nataka kumpotezea aisee anakuja juu balaa hataki kabisa kusikia!
Kwahiyo haya mambo yanatokeaga tu sometimes wala hatupangi.
Tena nyie ndio mnakamatikaga mnaingia kichwa na miguu yote hamsikii hamuambiwi😀😀Kwa hiyo na mie siku yangu ipo sio?
🤭🤭🤣🤣
Mkuu usiseme hivyo tema mate chini ooooh.Tena nyie ndio mnakamatikaga mnaingia kichwa na miguu yote hamsikii hamuambiwi😀😀
Sasa mkuu unaogopa nini si ni mambo ya kawaida tu..?😀Mkuu usiseme hivyo tema mate chini ooooh.