Unapokuwa na Mpenzi, Mume au Mke wa mtu hakikisha unakuwa na code(viashiria) vya mawasiliano ili kujua ni yeye unayewasiliana nae kwa wakati huo

mme wa mtu hapana wacha nipambane na hawa senior bachelors

Kikao cha mwisho cha Senior bachelors pale Magoroto tulikubaliana kuwa tutaendelea kushake well before use hadi pale kikao kingine kitakapoitishwa malawi kwa polepole...

Enjoy the ride mrembo, umechagua fungu sahihi sana kwa ustawi wa furaha yako.
 
Safi sana
 
Aah wapi at this point kwakweli mme wa mtu simuwezi, mambo ya kufichana ficha mimi siwezi, mtu huwezi mpigia simu unavyotaka huwezi mtumia ki sms kitamu unavyo taka, no ka video call usiku, mme wa mtu hapana wacha nipambane na hawa senior bachelors

Bora ukomae na masingle father tu [emoji28]
 
Hamna lolote uliloongea hapa

Andika lolote ulonalo wewe ili tulisome hapa tuone kama lina mantiki ndani yake vinginevyo tutakuchukulia ni mtu mpumbavu na kilaza wa kutupwa ulieandamwa na msongo wa mawazo ambao mimi siyo mmojawapo wa walisababisha hayo yanayokusibu kwenye maisha yako[emoji108][emoji108]

Jifunze namna Nzuri ya kuchangia majadiliano ya mada.

Kama umeona sijaandika lolote basi wewe andiko lolote ulonalo na siyo kujichoresha ufinyu wako wa akili humu.!
 
Hamna lolote uliloongea hapa

Usipende kusikia kile unachotarajia kusikia au kusoma kutokana na perceptions zako tu au uwezo wako wa kufikiri juu ya mambo mbali mbali.

Ruhusu akili yako ifunguke na kuwa tayari kujifunza mambo mapya au changamoto mpya na kusikia kisha kutafakali kwa kila kabla ya kutoa hukumu ambayo werevu watakuona Huyu vipi?

Sana sana unaweza ukarudi kwenye misingi ya kiimani na kusimamia Maandiko Matakatifu kutegemeana na imani ya mtu lakini siyo from no where unaandika Eti ooh hujaandika lolote [emoji848][emoji848][emoji848]

Ndivyo akili yako inavyokutuma?
 
Wachepukaji kazi mnayo, kuna dada anachepuka na mme wa mtu ni kiboko, sms zake huwezi zielewa wanazijua wao wenyewe.

Anaweza andika no 5 kumbe hii 5 ni salamu, na mme anajibu kwa no dah watu ni wahuni.

Akiandika 2 maana yake anamuuliza alipo[emoji23]
Hizi ni pin code zako #luckyline
 
Yote hayo ya nini jamani?

Hivi kuna mapenzi zaidi ya kila mtu na wake kweli ambae unakuwa huru kuongea nae muda wowote, kujiachia nae na kulisogeza li life la ukweli jamani?

Ama the forbidden fruit is the sweetest kuna ka utamu flani ka kuibiana mapenzi?
Kuna dada mmoja ofisini alikuaga anaongea kama wewe dada Karusii. Unakuta tuko wengi ofisini sasa si unajua tena stori watu wanaanza kuongea kuhusu michepuko basi yeye ataanza kukemea, anakua mkali...! " Ooh, mtu umeoa/olewa utakuaje na mtu mwingine..?" "Mapenzi ni kwa mtu mmoja tuu..." " Penzi haligawanyiki.." "Haiwezekani mtu mwenye akili timamu uchepuke.." Yani alikua anakasirika hadi anaondoka kabisa hilo eneo.

Basi bana... ikafika kipindi tukapataga kazi fulani ikawa ni lazima mimi na yeye tuwe tunabaki ofisini kila siku kuifanya kwenye computer. Kusema kweli mimi nilikua na behave vizuri tuu sema sasa ile kukaa wote karibu kwa mda mwingi mpaka usiku, tukajikuta tunaanza kuongea mambo mengi, saa nyingine tunakula pamoja, mara tumeshikana mikono, mara kaniegemea, siku isiyo na jina mara hamad! Tumekiss!!!

Tuseme tu ni zaidi ya miaka minne sasa tunaendelea kumegana kwa siri sana..! Binafsi nimeshafanya effort kadhaa za kuvunja uhusiano lakini mwenzangu akiona tu dalili kama nataka kumpotezea aisee anakuja juu balaa hataki kabisa kusikia!

Kwahiyo haya mambo yanatokeaga tu sometimes wala hatupangi.
 
Mkuu unapata dhambi aisee si muache ujue unavyo Fanya sio Vizuri SASA subiri upakuliwe mwenyewe akijua Ila wake za watu watamu aisee alafu wanakuwaga wasafiii na utamu udambwi udambwi km wote
 
Dah ndio ivyo sasa mkuu demu mwenyewe hataki tuachane..
 
Na uchepukaji wangu wote,

MKE wa mtu kwakweli hapana
emoji120.png
Saa nyingine inatokea tu mkuu.

Sasa mfano mi nilikua na demu flani nilikua napiga tunaelewana balaa. Alikua mzuri kiasi chake ila mtam balaa na ni wale wife material yaani kakaa style zile za kuwekwa ndani kabisa.

Ikatokea kipindi nikasafiri kwa mda mrefu ila tukawa tunawasiliana fresh. Baada ya mda niko safari akaniambia bana mi kuna mtu kajitokeza anataka kunioa! Nikamuuliza maswali mengi sana kuhusu huyo jamaa akaniambia kweli jamaa yupo siriaz. Basi nikaona nisimzibie, nikampa baraka zangu zote, nikamtumia na mchango wangu.

Imebaki kama mwezi ivi ndoa ifungwe na mimi nikawa nimerudi. Dem kusikia nimerudi kafanya juu chini kunitafuta tumekuja kuonana bado wiki 2 harusi. Akasema tuagane vizuri.

Kwenye harusi tena nakumbuka nilienda na wife. Baadae sasa mambo ya harusi yameisha tukawa tunaliendeleza mdogo mdogo kilichokuja kututenganisha ni baada ya wao kuhama mkoa naoishi.

Na uchepukaji wangu wote,

MKE wa mtu kwakweli hapana[emoji120]
 
Kuna dada mmoja ofisini alikuaga anaongea kama wewe dada Karusii. Unakuta tuko wengi ofisini sasa si unajua tena stori watu wanaanza kuongea kuhusu michepuko basi yeye ataanza kukemea, anakua mkali...! " Ooh, mtu umeoa/olewa utakuaje na mtu mwingine..?" "Mapenzi ni kwa mtu mmoja tuu..." " Penzi haligawanyiki.." "Haiwezekani mtu mwenye akili timamu uchepuke.." Yani alikua anakasirika hadi anaondoka kabisa hilo eneo.

Basi bana... ikafika kipindi tukapataga kazi fulani ikawa ni lazima mimi na yeye tuwe tunabaki ofisini kila siku kuifanya kwenye computer. Kusema kweli mimi nilikua na behave vizuri tuu sema sasa ile kukaa wote karibu kwa mda mwingi mpaka usiku, tukajikuta tunaanza kuongea mambo mengi, saa nyingine tunakula pamoja, mara tumeshikana mikono, mara kaniegemea, siku isiyo na jina mara hamad! Tumekiss!!!

Tuseme tu ni zaidi ya miaka minne sasa tunaendelea kumegana kwa siri sana..! Binafsi nimeshafanya effort kadhaa za kuvunja uhusiano lakini mwenzangu akiona tu dalili kama nataka kumpotezea aisee anakuja juu balaa hataki kabisa kusikia!

Kwahiyo haya mambo yanatokeaga tu sometimes wala hatupangi.
Kwa hiyo na mie siku yangu ipo sio?

🤭🤭🤣🤣
 
Kudadeki niliponyoka ponyoka pale buguruni sitosahau demu hajaolewa ila anaishi na bwanake afu hajasema alidai anakaa kwa ant yake sasa siku anadai niende mitaa yao ya karibu ili akanipe mbususu.

Awali tuliahidiana kesho yake ndio tungekutana ila ghafla jioni akawa anafosi niende dah nilajiandaa msela nikabeba hadi zana mie huyooo hadi buguruni kama alivyonielekeza nikachukua boda hadi kitaa chao sema, sasa akawa anafosi kila muda kuuliza umefika umefika uko wapi ani sio kawada ya huyu manzi aisee..

Nilipofika Ghafla machale ya mkund* yakanicheza nikanicheza hapa nikaenda jivuta sehemu nikajibanza alafu nikamwambia niko nimefika nikataja eneo ambao sipo ambalo ningeweza kuona nani anakuja nani haji, sasa baada ya muda naoma majamaa wanapiga doria zile eneo afu demu simu yake ikawa haijibu sms tena ghafla demu nae nikamuona yuko na wale jamaa wanamfosi wamefika lile eneo hawaoni mtu na mm nimekaa upande mwingine nawazoom tuu.

Njemba ziko mbili nikaona hapa ni kucheza kama pele nikaweka flight mode chap chap afu nikatulia mungu sio asumani boda boda ikatokea ile road nikachomoka chap nikadanda boda hata bila maelewano nikamwambia twende tuu nakueleza pa kwenda [emoji23][emoji23][emoji23]

nilipochomoka pale nikatoa ile mode zikaaz sms kibao zinaingia nimefika buguruni sheli nikamwambia mchezo wenu nimeuoa akajibu una bahati sana ww [emoji28][emoji28] baada ya wiki demu akanitafuta akaleta mbususu hadi magetoni kunipooza na msala kikaishia hapo.
 
Back
Top Bottom