Unapokuwa nje ya JF huwa unammiss nani zaidi?

Unapokuwa nje ya JF huwa unammiss nani zaidi?

Asante sana mjukuu wangu mwema na uliyebarikiwa sana. Sisi ni ndugu. Always remember that mjukuu.

Nakupenda sana mjukuu wangu 🙏🏿. Ila uwaambie mzabzab na lile lijamaa la kuitwa Foxhound wakae mbali nawe maana kitakachokuja kuwapata haki ya nani watakuja kusimulia 😬😬😬😬💪💪💪

View attachment 2690863
Vitisho vya nini jamani na tumekubaliana kuwa mawardat muda wa kuolewa umefika.
 
2016 kurdi nyuma nilikuwa sipitishi siku sijaingia humu. Ila kwasasa majukumu yanabana sana.

Ukiwa free ndiyo muda pekee wa kucheza na watoto. Nadhani hili halinitokei peke yangu tu.

Binafsi nikiwa offline nawamiss watu kibao. Ila zaidi huwa nammiss @bbade

Wewe huwa unammiss nani zaidi?
Wachawi wa JF
839e639715a63edea466850e6c6fbb32.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom