Unapomjari mtu, mara nyingi huwa mtu ni Vigumu kuona unatenda sahibi.

Wajinga hawajawahi kuisha.
Mi sio mtu wa kukurupuka, nilipo mpenda huyo, Binti. Nilijua kua ana Watoto watatu. Na mwanzo nilikua na muhudumia kadri ya uwezo wangu, nilipoanza ujenzi tu hali ilibadilika anaona anapewa pesa mdogo, na pia mi nilikua naanda Sehemu ya Kuishi yeye na Watoto wake.
Ila baada ya kugundua hizo sarakasi.
Jeuri kujiona yeye mzuri sana anamajibu ya Nyodo...nkaina hii Red Card.
 
Linapokuja suala la kuchagua mwanamke vijana tunafeli sana. Miaka 26 with 3 kids hauoni kama iyo ni red flag kweli.!..

Mbona wanawake wenye rekodi safi wapo, kwanini mnafanya gamble kwa wanawake wa ajabu ajabu?
Uko sahihi.
Nilimpenda, na nilikua naelewa ana 3 Kids, lakini nikaona kawaida naweza kuwamudu kuwa hudumia
Jambo la kwanza nikaona nimtoe kwenye swala la Kodi ndomana nikanunua uwanja na kuanza ujenzi Ili akae na Watoto( Tunaepukana na kulipa Kodi, kama Kodi itakua kulipia Frem ambayo atakua anafanyia Biashara)
Lengo langu la pili ilikua ni kumpa mtaji wa Biashara.
nilitaka nim saport kwa kile anachofanya( Kuna pesa nilitenga Ili nimpe aongezee kwenye harakati zake.
 
Hiyo nyumba ingekamilika mkahamia angekutangiliza mbinguni then auze nyumba ale pesa na jamaa mwingine. Sometimes uwe unamsoma Natafuta Ajira
 
Kisa kinatak kufanana kias
Huyu binti nilikuw namjali hiz 10/30 kawaida this October nikasema ngoja nicmpe ela tuone aloo penz limekuw zto , nazan hatutomalz 1/3 wiki kudumu from now
 
ukipata muda nenda kapime MALARIA
 
Linapokuja suala la kuchagua mwanamke vijana tunafeli sana. Miaka 26 with 3 kids hauoni kama iyo ni red flag kweli.!..

Mbona wanawake wenye rekodi safi wapo, kwanini mnafanya gamble kwa wanawake wa ajabu ajabu?
Somo la JANDO na UNYAGO sijui lilipotelea wapi.......
Pia kuna uwezekano vijana hawajui namna ya kupiga miti (KUMKAZA) mwanamke,,,,wanadhani ni kupiga pump tu......
Ndio kisa na maana wanawake wamekuwa na dharau na kujali PESA tu...
manake kuna kitu WANAKIKOSA...........
 
Mwanaume utakiwi kuteseka kutafuta hela ili uje kuwa mkombozi wa mwanamke malaya na mpumbavu aliye tumia ujana wake vibaya.
Yaani mtu ana miaka 26 tiyari ana watoto 3 na hajawahi kuolewa huoni kuwa huyo ni malaya aliye kubuhu?
 
Una uhakika una akili timamu?
 
Wanawake sio watu wa kuwaendekeza hata kidogo mluu. Ni afadhali kumfadhili kenge kuliko mwanamke
 
Dah mkubwa Ila wahenga wanasema "hakuna tuzo ya roho nzuri" tafuta mtaa wowote mtu yule ambaye anaish kikatili na mke wake au mpenz ndo huwa a naenjoy maisha Ila sisi tunaojifanya wa pole tu naumia mkuu"
 
Ila dah, miamba mna moyo. Honestly speaking naona ulikurupuka kufanya hio decision braza. Yaani muda huwa unatoa majibu sahihi, atleast ungejipa muda kufanya haya maamuzi ya viwanja sijui nyumba. Sawa pesa ni zako BUT beware everytime unadecide kuinvest mahali. Wrong choices zimedrive wengi sana mahali pa machozi na kujifunza kwa masomo magumu sana. I am a woman but take this from me, no matter the desire, emotions, smiles or good will and character...tuchunguze kwanza. Tunajijua wenyewe sisi.
 
Thanks my sister,. Ni kweli usemacho kumeluelewa Mwanamke anahitaji nini ajuae shetani.
 
Kila siku nawaambia vijana wasipuuze past ya mwanamke ila sasa ndio hawataki kunielewa, angalao comments yako imetoka kwa mwanamke.
 
Huyu jamaa ni mrongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…