Unapomjari mtu, mara nyingi huwa mtu ni Vigumu kuona unatenda sahibi.

Unapomjari mtu, mara nyingi huwa mtu ni Vigumu kuona unatenda sahibi.

Mleta uzi utakuwa ni kijana mfupi sana...kiurefu na kiakili
Huna confidence halafu umekolea kwa mshangazi....pole sana, ..umeshanasa, huna namna, umeshapigwa na limbwata la kuteketeza....kuchomoka hapo you need a divine intervention not otherwise.
Bon voyage.

porojo
yaan umuwazie kumjengea ndo utume buku 5
Hiyo siku niliompa Buku 5. Nilikua nimefanya matumizi ya Nyumbani na kwenye Biashara, pia nashukuru Mungu bila ile Buku 5 nisingejua Rangi za yule Demu kila kitu, Mungu upanga namshukuru Mungu kwa kile kilichotokea, ...Buku 5 Tu ndo chanzo kilianza Hapo.
 
Yaani kabla ya mechi tayari umeshapigwa goli tatu ...na Bado dakika ya 10 tu umecheza tafu penati .... Duuuh..... La nne na Bado tu unakaza fuvu ..... Kumbe ule msemo washamba hawaishi mjini kumbe kweli....
😀😀😀 Amini baba hicho kimama kikimfata na kumuambia nisamehe, niliteleza, ulimi na blah blah, anapewa K pengine na utumbo achanganye na ndizi jamaa ataingia box upya.

Hawa watu wenye tabu za spellings kama R na L huwa kuna fuse inapiga piga cheche kwa mbali.
 
Back
Top Bottom