Unapomjari mtu, mara nyingi huwa mtu ni Vigumu kuona unatenda sahibi.

Bado Nasisitiza wewe ni mrongo.
 
porojo
yaan umuwazie kumjengea ndo utume buku 5
 
we jamaa hauko serious miaka 26 ana watoto watatu umekomaa naye na anakuamrisha cha kufanya kah! na hao watoto watatu sio wa Baba mmoja, jitahidi kuhudhuria kwenye vikao, wako mabinti wa miaka hiyo hawana watoto fanya mchakato achana na upofu wa mapenzi, watoto watatu ni wengi bwashee shituka
 
Single Maza wapewe mauwa yao. Tunawananga lakini kila siku tunaangukia humo humo.
 
Mleta uzi utakuwa ni kijana mfupi sana...kiurefu na kiakili
Huna confidence halafu umekolea kwa mshangazi....pole sana, ..umeshanasa, huna namna, umeshapigwa na limbwata la kuteketeza....kuchomoka hapo you need a divine intervention not otherwise.
Bon voyage.
 
Hii stori imekaa kimchongo flani hivi.
 
Atakuwa ni msukuma alikutana na Single maza mweupe sana kutoka Kondoa au Manyoni.
 
Yaani hili ndio limekunyima usingizi...๐Ÿค”
Ngoja waje wakuambie:-
KumjariโŒ
Nilikubariana naeโŒ
MatofariโŒ
KwaajiriโŒ
NimemjariโŒ
Mkuu embu angazia tena hiyo 'matofari' kama ni mistake kweli.

Au nami ukurya wangu unanikerembesha?
 
Mwanaume utakiwi kuteseka kutafuta hela ili uje kuwa mkombozi wa mwanamke malaya na mpumbavu aliye tumia ujana wake vibaya.
Yaani mtu ana miaka 26 tiyari ana watoto 3 na hajawahi kuolewa huoni kuwa huyo ni malaya aliye kubuhu?
Hao watoto kila mmoja na baba yake
 
Unaoa mke kwasababu una mhurumia na kwamba una uwezo wa kumsaidia๐Ÿ˜ฒ

Vipi akivuka kiwango cha msaada wako? Utamwacha akasaidiwe na msaada wa mwanaume wa juu ya uwezo wako?

Ungeweza kumpa msaada pekee na kumwacha lakini sio kuchanganya huruma na ndoa. UTAJUTA

OA MKE mwenye sifa ya mke, toa msaada kwa anestahili kupewa msaada. USICHANGANYE MAMBO
 
Big point.
 
Huwa mara nyingi nina kifua na sisemi hivi lakini leo acha niseme in Kanjibai voice ๐Ÿคฃ
"KUBWA JINGA SANA VEVE SHABANI"
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Shabaniiii
 
Reactions: apk
Pls tell us umemuacha tayari, au bado unawaza kwanza? Dah mzee alikupa nn huyo shumileta??
 
Umetafuta matatizo mwenyewe hapo wanawake walionyooka wapo kibao unatafuta aliepinda..
 
Pls tell us umemuacha tayari, au bado unawaza kwanza? Dah mzee alikupa nn huyo shumileta??
Nimeachana nae.
Niliona Taa Nyekundu mapema nilikua na mchora kwa mbali.
One Day
Akalopoka "nilikua nakuchukulia kumbe Fala mjanja"
Siku mjibu kitu nilicheka tu.
Ninapotoa kitu kwa mwanamke kiasi kidogo sana ya kipato changu yaani hata sitoi kwa kujimaliza, kama wanavyotoa watu sadaka kwa mwamposa, mpaka wanakosa nauli ya kurudi nyumbani kwao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ