Unapomkopesha mke wa mtu kisha haoneshi dalili ya kulipa unafanyaje?

Maleven

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
783
Reaction score
3,666
Nimeongia mtego flan, kuna mke wa mtu amenikopa hela, karudisha laki mbili na nusu bado namdai nyingine, ahadi ya kulipa imefika lakini ananikwepa, mume wake hafahamu haya. Nifanyeje?
 
Angalau huyo kajitahidi kurudisha,wengine huwa hawarudishi hata senti,na humfanyi kitu,anajua mtsmalizana tyu
Kumbe ni hulka yao? Nimechelewa kujua na nilimuamini sana
 
Nimeongia mtego flan, kuna mke wa mtu amenikopa hela, karudisha laki mbili na nusu bado namdai nyingine, ahadi ya kulipa imefika lakini ananikwepa, mume wake hafahamu haya. Nifanyeje?
kamwambie mume wake atakulipa..
 
Duniani kuna mambo,ongea na Watu WA karibu usiweke Sana akili ya mambo ya hovyo....Alikiba aliimba mke WA Mtu sumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ