Unapomuona mke wako hana furaha na hana amani inasumbua sana

Mcheps anampa kimuhemuhe cha mapenzi, mwambie akupe namba zake uwapatanishe ili amani irudi humo ndani
 
Sometimes mchepuko wake unakua umemkera , hapo uombe mume mwenzio ayasuruhishe huko.
 
Hapo ogopa ujue kuna mtu anasumbua au madeni ya vikoba🤣🙄🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…