Unapomvua nguo binti mrembo na kukuta mwili wake una chale kibao huwa unapata picha gani?

Unapomvua nguo binti mrembo na kukuta mwili wake una chale kibao huwa unapata picha gani?

Umeenda mahala kula mzigo na una hamu kinyama na binti mrembo na anakubali umtafune na umvue nguo zake.

Lakini ukimvua tu nguo unakutana na chale mwili mzima za kila aina.

Hapa unapata picha gani?

Utapiga mzigo na kunasa?

Binti ni mzee wa kazi?
We unafata papuchi au chale?
 
Hivi watu mnaishi dunia ya ngapi? Seriously unakuja kushangaa chale kwenye mwili wa mtu, tena ni chale ambazo umemkuta nazo??

Kuna wale mabao hata wakipigwa chale huwa hazionekani (kama mimi), utafanya nini??

Nani huyo aliwahi kulogeka kwa chale ambazo zipo kwenye mwili wa mtu?

We kula mzigo, mengine achana nayo.
 
Hizo chale it means hapo hyo sio vita ya ntu na ntu, n vita ya kabila zima na ukoo. Hapo mkuu, piga hyo mbususu as if unarepresent ukoo wako wote. Maana hapo upande wake wooote wanakuangalia kama wewe n mchezaji hodari au legelege. Piga kbsa mpka chale zivimbe ili mabibi na mababu wakukubali.
 
Umeenda mahala kula mzigo na una hamu kinyama na binti mrembo na anakubali umtafune na umvue nguo zake.

Lakini ukimvua tu nguo unakutana na chale mwili mzima za kila aina.

Hapa unapata picha gani?

Utapiga mzigo na kunasa?

Binti ni mzee wa kazi?
Yan chale mpka kwenye mbususu au??
 
Kwa mademu wa kiafrika hiyo kawaida siyo Siri waafrika uchawi ndiyo jadi yetu na hiyo si kwa wanawake tuu hata boys nao wanachale zimezunguka kiuno na hili ninaushuhuda nalo
Ndg zangu tuache unafiki hii Jf nusu au kilo nzima ya watu tulioko humu ni superstitions wakubwa
 
Changamoto za mila iwe hiari au lazima na wakulazimishwa au kudanganywa wengi sana na hizo chale za kuonekana ni za makabila utopolo kimila, Mzigua hata achanje mara 100 au Msambaa chale hazitishi na hutoweka na Wanyiha pia .

Chale ni kitisho ukiwa utopolo wa hizo ishu ila kama unazielewa tena unaliza mwanangu vipi umepitia shida gani naona ulinzi mwingi kulikoni?!!
 
Umeenda mahala kula mzigo na una hamu kinyama na binti mrembo na anakubali umtafune na umvue nguo zake.

Lakini ukimvua tu nguo unakutana na chale mwili mzima za kila aina.

Hapa unapata picha gani?

Utapiga mzigo na kunasa?

Binti ni mzee wa kazi?
Wazazi wake au walezi ni washirikina
 
Hata mwanaume akiwa na chale naiogopa sana damu yake kuchanganyika na yangu(shahawa)
 
Back
Top Bottom