Acha akili za kimasikiniWakati wa awamu ya nne tuliona kampeni kubwa za kugawa tenda za ujenzi kwa makandarasi wazawa. Tuliona kampuni ya Mayanga Construction ilivyomwagiwa tenda mpaka ikashindwa na kuishia ku-subcontract kwa makampuni ya nje! Leo tunajua Mayanga Construction ilimilikiwa na nani.
Kampeni za kunyanyua wakandarasi wa ndani sio mbaya ila tu isiwe ni kichaka cha viongozi kutaka kujitajirisha. Tutegemee Abdul Construction safari hii?
Upo sahihi kabisaWakati wa awamu ya nne tuliona kampeni kubwa za kugawa tenda za ujenzi kwa makandarasi wazawa. Tuliona kampuni ya Mayanga Construction ilivyomwagiwa tenda mpaka ikashindwa na kuishia ku-subcontract kwa makampuni ya nje! Leo tunajua Mayanga Construction ilimilikiwa na nani.
Kampeni za kunyanyua wakandarasi wa ndani sio mbaya ila tu isiwe ni kichaka cha viongozi kutaka kujitajirisha. Tutegemee Abdul Construction safari hii?
Hapa pesa za umma zitapigwa haswaIssue ni uteuzi wa kampuni kushindanishwa kwa usawa na je ina uwezo?
Wapewe kwa hakiHamnaga jema,wakipewa ukandarasi kampuni za nje mnasema,leo wameanza kupewa wa nyumbani mmeanza tena gubu,hawa ndio watanzania.
Huo ndiyo ukweliBila shaka, kuna kikundi cha watu kimefungua kampuni kasha, ambapo watakuwa wanapokea tenda kama madalali tu, halafu wanatafuta kampuni ya nje wake wafanye kwa bei ya chini zaidi, ni udalali tu.
Pesa za kuanzia? Upendeleo?Kwani Kuna shida gani kama Abdul Construction itakuwepo na inafuata taratibu zote za ukandarasi?!
Watanzania tuache utoto utoto na tujue hatuwezi piga hatua kwa kupiga mdomo tu!
Huoni kama ni tatizo endapo Zote zikiwa za Rais na Mawaziri na kina Bashit?Kwani Kuna shida gani kama Abdul Construction itakuwepo na inafuata taratibu zote za ukandarasi?!
Watanzania tuache utoto utoto na tujue hatuwezi piga hatua kwa kupiga mdomo tu!
Nani ataweza kushindana na Abdul Construction akitegemea fair competition?Kwani Kuna shida gani kama Abdul Construction itakuwepo na inafuata taratibu zote za ukandarasi?!
Watanzania tuache utoto utoto na tujue hatuwezi piga hatua kwa kupiga mdomo tu!
Makampuni ya wanasiasa ndio yanatupeleka kwenye umaskini.Acha akili za kimasikini
Makampuni ya wanasiasa ndio yanatupeleka kwenye umaskini.Acha akili za kimasikini
Riz 1.... hahahaNani ataweza kushindana na Abdul Construction akitegemea fair competition?
Mtu mwenye cheo kufungua kampuni yake ya ujenzi Wala haihitaji debe Ili kupata kazi.Cheo tuu kinatosha kuwa guarantee ya kazi mfano mzuri ni Robert Gabriel licha ya kuwa RC wa Zamani lakini kapata kazi ya Bil.5 sembuse aliyeko kwenye cheo?.Wakati wa awamu ya nne tuliona kampeni kubwa za kugawa tenda za ujenzi kwa makandarasi wazawa. Tuliona kampuni ya Mayanga Construction ilivyomwagiwa tenda mpaka ikashindwa na kuishia ku-subcontract kwa makampuni ya nje! Leo tunajua Mayanga Construction ilimilikiwa na nani.
Kampeni za kunyanyua wakandarasi wa ndani sio mbaya ila tu isiwe ni kichaka cha viongozi kutaka kujitajirisha. Tutegemee Abdul Construction safari hii?
Sio mbaya ila usitegemee fair play linapokuja suala la ugawaji wa tenda, ref, Mayanga Construction.Mtu mwenye cheo kufungua kampuni yake ya ujenzi Wala haihitaji debe Ili kupata kazi.Cheo tuu kinatosha kuwa guarantee ya kazi mfano mzuri ni Robert Gabriel licha ya kuwa RC wa Zamani lakini kapata kazi ya Bil.5 sembuse aliyeko kwenye cheo?.
Pili kwani Kuna ubaya mtu wa hivyo kufungua kampuni na kufanya kazi? Kipi Cha ajabu? Sheria zipi zinazuia?
Kwa hiyo usiwe mpumbavu,Wazawa wanatakiwa kushika uchumi wa Nchi hii ukiwepo wewe ,Makelele hayatakusaidia kuondokana na umaskini.
Tenda haigawiwi Bali unaomba na Ukiwa na vigezo unapata.Sio mbaya ila usitegemee fair play linapokuja suala la ugawaji wa tenda, ref, Mayanga Construction.