Unaridhika na Mwenza uliyenaye au unavumilia tu?

Ushauri mzuri sana huu
Naam,sijutii kumtumaini Mungu kwa moyo wangu wote. Ndio maana amenipa Mke ambaye haniishi 'hamu' wala 'utamu'.

Huwa natamani kuwafundisha watu siri hii lakini wengi wana masikio yasiyosikia hivyo huwa naamua kumyuti zangu kimyaaa!πŸ˜€
 
Naam,sijutii kumtumaini Mungu kwa moyo wangu wote. Ndio maana amenipa Mke ambaye haniishi 'hamu' wala 'utamu'.

Huwa natamani kuwafundisha watu siri hii lakini wengi wana masikio yasiyosikia hivyo huwa naamua kumyuti zangu kimyaaa!πŸ˜€
Hapo kwenye haishi hamu wala utamu ndo nimepapenda 😜
 
Sasa kama tukibaliana kukutana sehemu ww hauwezi kujilipia hata buku ya boda huo si msiba wajameni au?
Tuanze hapo kwenye kukubalianaπŸ˜…

Yani uniite wewe halafu tena nijilipie nauli?
Hapana Bro!

Hata hamu zenyewe zitakata kwanza.

Wewe umeishajua unataka andaa kibunda Cha maana kitakachonifanya nijisikie malkia😜
 
hapo ndo shida ilipo
tunatakana, kwani we huna nye.ge?
Nakuwa sijakuita mimi πŸ˜…
Nikikuita hata kwangu mimi nitafanya maandalizi yote mazuri ya kukupokea Kipenzi changu,lakini kwa hela ulizonipa wewe.

Na kama wewe ni bahili nitatumia za mume mwenzako 😜
 
Kwenye mapenzi kinachovumiliwa sicho wengi wanachotafsiri namna ya uvumilivu, ndio maana wengi huishia kuteseka, kuumia kupata na stress + depression. Kinachovumiliwa kwenye mapenzi ni process ambayo wote mme agree ( ambayo huleta amani, furaha, upendo na kuthaminiana ) ila sio kuvumilia tabia chafu na mambo kama hayo kwamba mtu atabadiroka
 
Ni kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…