Unaridhika na Mwenza uliyenaye au unavumilia tu?

Hapo kwenye haishi hamu wala utamu ndo nimepapenda 😜
Kabisa,yaani wanawake huko nje wakitaka kunitega,ghafla huwa naukumbuka utamu wa Mke wangu. Bila kujali urembo(uzuri) wao,huwa wanashangaa tu wamekula block!.

Kuna Mwanamke mmoja juzi juzi hapa amenijia na gia ya kutaka ushauri wa kiroho kwangu kumbe hamna cha kutaka ushauri wa kiroho wala nini. Kala blockπŸ˜€. Uzuri nia halisi ya mtu huwa haijifichi. Huwa wanafikiri Mimi ni kipofu kama wao. Sikia,Yesu alichokisema πŸ‘‡

YOHANA 8
12 Basi Yesu akawaambia tena akasema, Mimi ndimi nuru ya ulimwengu, yeye anifuataye hatakwenda gizani kamwe, bali atakuwa na nuru ya uzima.

Mke/Mume wa kushushiwa na Mungu anapaswa kutunzwa,yai likasome!.

I always tell my dear wife kwamba "kwenye maisha haya utakutana na karaha nyingine tu za kimaisha lakini sio karaha za Ndoa. Kula raha za Mumeo mama". Huwa anareply kwa mng'ao wa tabasamu usoni mwake!

Kuna watu wanatamani kumroga kwa wivu lakini harogeki kwa sababu ana full protection(Jesus Christ) so, huwa wanaishia kumnunia tu na kutokujibu salam zake🀣🀣🀣🀣🀣.
 
Sahihi kbsa mkuu
 
"Better to be alone and be happy, than being with someone and be unhappy"~Lucky Dube
 
Wacha bhana.
Upendo wa hivi ndo naoutaka mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…