Unasaidia wengi kujikwamua kiuchumi na wengi juu it’s majina tofauti, wengine wanaita mchezo, upatikanaji, kibati..

Unasaidia wengi kujikwamua kiuchumi na wengi juu it’s majina tofauti, wengine wanaita mchezo, upatikanaji, kibati..

Tumeweka rules kwenye group yetu, anaechelewa kufikisha anakuwa exposed kwenye group na anamlipa mpokeaji double. Maximum tarehe 30 mpokeaji anatakiwa awe amepokea pesa yake.

Ewaaa ndo inavyotakiwa
 
Ndugu yangu kacheza mchezo huo kanunua alphard inamsaidia biashara yake ya kupika chakula.
Mama Ikram yeye anachezesha buku kila siku, matokeo yake baba Ikram anaacha hela ya kilo ya nyama watoto mchana na usiku, mama ikram mchana anapika dagaa na tembele gumu, usiku ananunua nyama robo.
Hela yote anapeleka kwenye kibati.
Na nyama robo ni kwaajili ya baba, asijue yanayoendelea mchana.
 
Active
Cookie
Heading ninaomba ibadilishwe isomeke inasaidia wengu kujikwamua kiuchumu na unaitwa majina tofauti, wengine wanauita mchezo, kibati au upatu.
 
Ndugu yangu kacheza mchezo huo kanunua alphard inamsaidia biashara yake ya kupika chakula.

Ila tukumbuke uu mchezo ndo chachu ya watoto kulishwa matembele magumu makavu na madagaa ya hovyo ili mama apeleke pesa kwa kijumbe, usiku sababu baba yupo ananunua nyama robo.
Yaani cha muhimu pesa ikipatikana ifanye cha maana. Tatizo Sasa linakuja wakina hazintoshi wakipokea wanaenda kutunza zote kwenye shughulii a.k.a kigodoro 🤣🤣
 
Ni mchezo mzuri kwa kuaminiana tu lakini

Kuna jamaa 20 nchi moja huku walikuwa wanatoa kila mmoja 3m ya Tz kwa mwezi
Baadae jamaa mmoja akatoa wazo kwa wenzake na kusema kama mtu ameweza kuweka £1000 kwa mwezi na kuvumilia miezi 19 kwanini tusiweke Bank na baada ya miaka kadhaa tufungue kiwanda?

Hayawi hayawi sasa wana kiwanda cha magodoro nchi moja Africa na waliopo kwingine ni sleeping partners tu wao wanapata hela kila mwezi kwa faida inayopatikana

Ila inataka moyo na dedication haswa na uaminifu sana
Sio unatoa hela baada ya miezi kadhaa unaanza ooh kuna tatizo kubwa limetokea home nahitaji hela zangu hapo ndio mgogoro unaanza

Ila ni mchezo mzuri unaosaidia wengi kutatua matatizo makubwa na madogo
 
Ni nzuri mkuu,

Najua watu fulani UK huu mchezo uliwasaidia kulipa ada ya chuo, na wote walimaliza......wamama wengi wanacheza huu mchezo, wababa naona hawaaminiani....😁😁😁🤣🤣🤣
 
Katika rules tulizoweka, haya matatizo jaribu kuyamaliza mwenyewe kwani kila mtu ana matatizo. Ikitokea umekosa kutoa mwezi unalipa double kama penalty.
 
Ni nzuri mkuu,

Najua watu fulani UK huu mchezo uliwasaidia kulipa ada ya chuo, na wote walimaliza......wamama wengi wanacheza huu mchezo, wababa naona hawaaminiani....😁😁😁🤣🤣🤣
Kwenye group tuko 11 na wanaume ni saba.
 
Ni nzuri mkuu,

Najua watu fulani UK huu mchezo uliwasaidia kulipa ada ya chuo, na wote walimaliza......wamama wengi wanacheza huu mchezo, wababa naona hawaaminiani....[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tunaaminiana sana ila tuna mengi ya kupanga hata hizo za kina mama ni mchango wetu mkubwa tunasaidia pia, na wengine hawajui ila wanasaidia in a different way
 
Tunaaminiana sana ila tuna mengi ya kupanga hata hizo za kina mama ni mchango wetu mkubwa tunasaidia pia, na wengine hawajui ila wanasaidia in a different way
Kuna Wakenya niliwafahamu, wanachanga £1,500 kila mwezi. Hapa ni mshahara wa mama wote na baba ana top up.

Weekends inabidi wapige kazi za ziada ili bills zilipwe lakkni ikiwafikia wanapata zaidi ya £20,000
 
Wow hebu niunganishe nina kama £10,000 imelala tu
Hapo nitapiga za uhakika nikiweka £2000 kila mwezi
 
Huwa inasaidia sana kutatua jam kubwa na ndogo.....nacheza kutumia majina ya watoto na mama yao ili kuficha kwa kijumbe kuona na mie baba zima nacheza michezo ya wapika vitumbua na wakopesha vijola
 
Huwa inasaidia sana kutatua jam kubwa na ndogo.....nacheza kutumia manina ya watoto na mama yao ili kuficha kwa kijumbe kuona na mie baba zima nacheza michezo ya wapika vitumbua na wakopesha vijola
😂😂😂😂😂❤️
 
Mnarushiana M-pesa siku ya kupokea na kila mtu ana screenshot message ya kutuma pesa kwenye WhatsApp group.
Naomba unipe maelekezo na taratibu za kuiendesha kwenye magroupu ya watsap ........maana kwenye huu uchumi wa Kati tukikosa fursa za kuhujumu basi tusikose hata na mengine ya kujidaia na kupunguza makali
 
1 uamnifu na mjuane vizuri
2 mnaunda group la WhatsApp
3 mnaweka sheria na taratibu
4 mnaweka utaratibu wa nani aanze nani amalize, kila mtu akishajua nafasi yake anaweka M-pesa details zake.
 
Back
Top Bottom