Unasema humtambui kiongozi halafu unalalamika hujamuona

Unasema humtambui kiongozi halafu unalalamika hujamuona

"Mlipoona kimya na wananchi WAMEWAPUUZA mkajiyengenezea tukio la Mrema na Mbowe. Mrema akajitokeza huku akisisitiza na Rais Magufuli ajitokeze. Sinema ikabuma! Rudini studio mpaka sasa mmefeliiii!"

Kumbe ilikuwa drama yao. Wakasingizia MATAGA...!

[emoji848][emoji848][emoji23]
 
RIH MATAGA wote na kiongozi wenu. It was as good as it lasted.

In steps another era!

(((RIH = rot in hell)))
 
Kama wanaohoji Rais yuko wapi ni wanachadema tu, basi kumbe wanaccm hamumpendi rais. haiwezekani baba yenu anawiki mbili haonekani halafu nyie mko kimya, na ajabu watoto wa jirani wakihoji mnawaona kama wanamtakia mabaya. Token semeni baba yenu alipo ili muwaaibishe watoto wa jirani
 
Acha kuifanya JF kama kijiwe cha kuimbia Taarab wewe! Sasa kwani kuna tatizo gani akijitokeza hadharani? Kwani angejiepusha na utawala wa one man show, unadhani kuna mtu angejishughulisha kumuulizia?

Tatizo ni yeye mwenyewe. Acha kimbelembele na kiherehere! Mwache mwenyewe ajitokeze na kuwaumbua hao wabaya wake alio watengeneza yeye mwenyewe! Ukiulizwa wewe ni nani wake, sidhani kama utakua na jibu.
 
Maisha ya mwanadamu ni kama upepo uzima wakati wowote.
 
Rais yuko wapi?Ana hali gani?
Ni hayo tu!
 
Mleta uzi umesahau kuweka namba yako ya simu huenda ukapewa viti maallumu.
 
Hata kama hatambuliki lakini anatumia kodi zetu lazima tuhoji kama yupo hai au kafa au anaumwa lazima tujue hili si ombi ni takwa la kikatiba
Wewe na wenzako mko kama tumbo la kuzimu lilialo nipeee nipeee! Rais Magufuli akionekanaaaa mnaanza ooh amezidi atulie tumemchoka. Akitulia oooh hili ni takwa la kikatiba tunataka kumuona! Khaaaa! Mtataga mwaka huu! Na badoooo!!
 
Back
Top Bottom