masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
Siyo bure. Umemficha!Wewe na wenzako mko kama tumbo la kuzimu lilialo nipeee nipeee! Rais Magufuli akionekanaaaa mnaanza ooh amezidi atulie tumemchoka. Akitulia oooh hili ni takwa la kikatiba tunataka kumuona! Khaaaa! Mtataga mwaka huu! Na badoooo!!
Bibie watoka Tangaee!