Wewe kibwengo ulipora kura ukamsimika baba yako sasa wewe kibwengo unaficha Ugonjwa lakini mficha maradhi kifo kinamuumbua ukibwengo wako unaelekea magharibi sasaUlumchagua?
Wewe si ulimchagua yule kibwengo wa ubelgiji?
Atue hata na bombadia chato wamuoneKama yupo aje azindue bafu na choo huku Kasamwa GEITA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utapata tabu sana! 2025 utaanza kunya dagaa!Wewe kibwengo ulipora kura ukamsimika baba yako sasa wewe kibwengo unaficha Ugonjwa lakini mficha maradhi kifo kinamuumbua ukibwengo wako unaelekea magharibi sasa
We unanionaje.Ulumchagua?
Wewe si ulimchagua yule kibwengo wa ubelgiji?
Uzalendo mavi!We unanionaje.
Bwege nini.
Tupo sisi wazalendo wa kukuzidi.
Magwanda yasikutie uchizi.
Pusi nyie hata kuchamba hamjui.Uzalendo mavi!
Hata sarafu ya Tanzania itaimarika sana maana wawekezaji wataanza kumiminika.Hivi JPM nani anampenda zaidi yako na akina polepole. Huku mtaani watu wameshajiandaa kunywa bia wakisikia amekata Moto.
Endeleeni kungoja kama fisi anayesubiri mkono udondoke! Katika kungoja kwenu msitikise na wengine.Propaganda zilizojaa utopolo mtupu.
The Bible says, " Mpende adui yako na umwombee"
Magufuli alishatangaza uadui na Wapinzani na wapinzani wanajua Maguguli hawapendi. Lakini wao wanataka kumwombea adui Magufuli. Ili umeombee adui ni LAZIMA UJUE YUKO WAPI NA ANA TATIZO GANI ILI ULIOMBEE/UMWOMBEE!!
Hivo CHADEMA NA RAIA WOTE WALIOATHIRKA NA UTAWALA WA JIWE KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE WANA HAKI YA KUTAKA KUJUA ALIPO ADUI YAO ILI WAENDELEE KUMWOMBEA MUNGU ASKIE NA AJIBU MAOMBI.
Ni hayo tu kwa sasa!!
Ukitenda mema unaishi mileleYaah haijalishi umetenda mema au mabaya
Ajira zitaongezeka,Hata sarafu ya Tanzania itaimarika sana maana wawekezaji wataanza kumiminika.
Tanzania itakua mahali salama pa kuishi na kufanya biashara.Ajira zitaongezeka,
Mishahara itapanda
Wasiojulikana awatokuwepo milele
Hela mtaani zitaonekana
Ndugu zetu watarudi toka ukimbizini,Tanzania itakua mahali salama pa kuishi na kufanya biashara.