mwanakwetuu
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 407
- 832
Hahahahaha anavyopenda sifa angekuwa kaishatoka zamani sana,Aisee
Hakuna Mtihani mgumu kama kuridhisha Watu...Hata mitume walishindwa
Raisi MAGUFULI usitoke nje kutaka kuwaridhisha maana hautaweza
Waambie hao na wewe watatangulia wao kabla ya Mhe Rais...ngoja Bwana Mungu awapitishie panga lake la motoHivi JPM nani anampenda zaidi yako na akina polepole. Huku mtaani watu wameshajiandaa kunywa bia wakisikia amekata Moto.
Tena Chaka baya sana..hi ni mara ya pili kuingizwa Chaka...nadhani Sasa iliyobaki atajifia tu watu wakazike..subiri..Mungu si Juma mjueKigogo kawaingiza CHAKA[emoji16][emoji16][emoji16]
Sasa ukiandika huo ugoko ndio jibu hilo au?You guys are irrelevant.
Nikweli nilipita Kkoo mtaa wa Livingstone kwa wauza matyres wanasema hivyo hivyo, wanadai kuna bizinesi na gavamenti walikuwa wanafanya direct na baadhi ya taasisi, zimezibwa.....na hawaruhusiwi tena.....Hivi JPM nani anampenda zaidi yako na akina polepole. Huku mtaani watu wameshajiandaa kunywa bia wakisikia amekata Moto.
Hakuna mpumbavu zaidi yako jf nzima. Nakuombea sana ubadilike. Umejua kusoma, kuandika na kuhesabu tu. Maarifa yamekupiga chenga. Hekima imejitenga nawe. Umekuwa kituko. Baya unaliita zuri. Zuri waliona baya. Upo kama haupo. Dogo unalifanya kubwa. Usiku unaona mchana.Ulumchagua?
Wewe si ulimchagua yule kibwengo wa ubelgiji?
Kwani Lissu ameuliza nini?tumieni akili basi au na akili nazo zinaumwa?
Mpumbavu ni wewe!Hakuna mpumbavu zaidi yako jf nzima. Nakuombea sana ubadilike. Umejua kusoma, kuandika na kuhesabu tu. Maarifa yamekupiga chenga. Hekima imejitenga nawe. Umekuwa kituko. Baya unaliita zuri. Zuri waliona baya. Upo kama haupo. Dogo unalifanya kubwa. Usiku unaona mchana.
Kuna majambazi wamekuwa maaskofu. Machangu wameokoka. Wachawi wanapiga gombo. Wanafiki leo ni watoa ushauri nasaha. Wewe husikii ukiwa na masikio mawili. Umekuwa na upofu wa kujitakia. Umataga ndio kwako uraibu. Nanawa mikono. Sikuombei tena. Ondoka nenda. Corona akukokote akupeleke wasikorudi. Buriani. Amina!
Matapeli ni wezi wa kura.. hawataki kabisa kusikia neno uchaguzi.Hapo kwenye kutomtambua ndo unafiki wenyewe unapoanzia.
Maana yake wamekubali matokeo na wanamtambua huku na wao wakiendelea kula mema ya nchi kwa kuwadanganya nyumbu wenzao,kumbuka Hawa Ni matapeli wa kisiasa tu.
Ugoko ndo nini?Sasa ukiandika huo ugoko ndio jibu hilo au?
Hawezi kuwaridhisha kwa bunduki na kuwapoteza kwa kutumia wasiojulikana, acha washangilie wanaotaka kushangiliaAisee
Hakuna Mtihani mgumu kama kuridhisha Watu...Hata mitume walishindwa
Raisi MAGUFULI usitoke nje kutaka kuwaridhisha maana hautaweza
Maandamano yalipangwa tarehe 2 lakini wewe na Polisiccm tarehe 1 siku moja kabla mkaenda kuwakamata viongozi wa chadema mkawatisha wananchi kwa mikwara kibao, CCM ndiyo mliogopa maandamano na kama hamkuyaogopa mlipaswa kusubiria muone kama watu wataandamana kuliko kutumia Polisiccm kuzuia maandamano kisha kuzuga kuwa wananchi waliogopaKama mlishinda uchaguzi na CCM ikaupora, basi tungeona mwitikio wa wananchi pale mbeligiji na timu yake walipoitisha maandamano yasiyo na kikomo! Jipangeni 2025 inakaribia mpo busy na social media utafikiria zitawapigia kura. Mtangoja sanaaaa!
Wepi?Ni wajinga sana hawa watu
HATUA NNE ZA HAKIKA ZA KUMYOOSHA ADUI YAKO KISIASA.Kwenye Medan za kijangwa unatakiwa ujue adui yako yuko wapi na anafanya nini na nani, na ili iwe nini, hasara zake ni nini sasa au baadaye. Kumjua muhasimu wako si kumkubali au unamjali laa kujiakikishia usalama wako usije otewa ikala kwako upoo hapo?!
Wananchi waliwadharau! Mbona kauli yenu ya nguvu ya umma haikusaidia? Kama kweli mnapendwa tungeona hata watu 100 tu wakipambana na Polisi. CCM imeshinda uchaguzi na Rais Magufuli ameshinda kwa kishindo. Jipangeni 2025 sio mbazi bila kusahau Serikali za Mitaa. Nyie endeleeni na uzushi mitandaoni mkidhani mitandao ya kijamii itawwpigia kura.Maandamano yalipangwa tarehe 2 lakini wewe na Polisiccm tarehe 1 siku moja kabla mkaenda kuwakamata viongozi wa chadema mkawatisha wananchi kwa mikwara kibao, CCM ndiyo mliogopa maandamano na kama hamkuyaogopa mlipaswa kusubiria muone kama watu wataandamana kuliko kutumia Polisiccm kuzuia maandamano kisha kuzuga kuwa wananchi waliogopa
Hivi si ni nyie mlikuwa mnamtukana JK kuwa ni legelege na dhaifu hivyo mnataka Rais mkali!Kwani Idd Amin hakuwa Rais wa Uganda?
Neno la Mungu ni upanga ukatao kuwili. Lina nyakati zote, nyakati za kuhukumu, kuonya, kubariki nkMtoa maada wakati unawaambia wenzio wasome zaburi nawe usome vizuri mafundisho ya Yesu kama we ni mkristo wa kweli unaemjua Mungu. Kwann umuingize Mungu kweny mabaraza ya wenye mizaha? Yani unatumia biblia kunanga watu? Ilishaandikwa waache wafu wazikane wenyewe na ya kaisari muachie kaisari? Siasa na dini ya kweli ni njia mbili tofauti kabisa. Jiulize kwann miaka yote its siasa against dini rejea herode enzi za yesu. Hata wafalme wengi waliokuwa watakatifu ila siasa iliwafanya wahasi dini japo walisamehewa ila kwa mateso makali sana. Sias mfumo wake mzima haumtukuzi Mungu huo ndo ukweli nakupa. Kitendo tu cha rais kutembea na bunduki inamaanisha anaeza kuua ikitokea namna. Je Mungu anafurahia mauji? Maan bible inasema sio mpaka ushike kisu uue hata mkristo wa kweli leo hii ikitokea unatamani Magufuli afe basi nenda katubu mara moja nobody deserves to die isipokuwa Mungu atakavyo. Amani iwe nanyi watu wa Mungu na tumrudie yeye amina.