Unasemaje kuwa umefunga wakati kila jioni unakula?

Mtu anasema watafute neno jingine , utadhani hio funga walijatafutia

Naona unajibu watu kuwa hawaelewi maana ya Funga , bila kuelewa ya kwamba wewe ndiye huelewi
Maoni yako yanaheshimiwa maana ni mali yako.
 
Kumbe ndo mimba ya uzeeni pole uliringa sana ujanani now upo macho unavizia daku kwa wenye waume zao daah inasikitisha sana
Binti mimba ya uzeeni alipigwa mama ako ukazaliwa wewe takataka unayejiita numbisa.

Dalili ni kukosa akili.

Si unajua watoto wanaozaliwa uzeeni wengi hawana akili kama wewe.

Wengi wanakuwa na mawazo machafumachafu kama yako.
 
Ufahamu wako kuhusu ukristo ni mdogo sana. Tafuta maandiko ya historia ya kanisa utaona kuwa Vatican haikuwa na ukristo wowote kwa mujibu wa biblia. Walikuwa na imani yao. Unajua papa katika miaka ya nyuma aliua sana wakristo?
Hahahaha.....okay my love. Be happy then.
 
Well, are you happy now?
Hebu mwambie mmeo akutie kimoko ulale kwanza. Ironically unaonesha umemiss kutiwa. Tell your bf by your side to do you a favor. It's not bad.
Hizi lugha sio za staha na zinaharibu mada yetu. Hii ndio sababu mimi naona kidini hii kukaa njaa mchana halafu ule usiku haina manufaa.
 
Point ya mada ni kuwa kiafya ukifunga kuanzia siku saba inausafisha mwili na kuboresha afya yako. Sumu zote zinatolewa mwilini.
Naelewa hilo na ni jambo ambalo lipo kiafya na kisayansi zaidi.
Kwahiyo point yako unamaanisha wanaofanya tofauti na hapo wanakosea?
 
Kufunga ni jambo la dini au sio la dini?

Tukiwaambia makafiri akli zenu ziko matakoni mnakataa.

Sasa huu unaoleta hapa kama sio uzumbukuku ni nini?
Watu wa dini mbalimbali wanafanya kufunga kwa aina mbalimbali na hiyo haifanyi kufunga kuwe jambo la kiimani pekee. Kuna sababu nyingi za kufunga na aina mbalimbali za mifungo. Kiafya siku saba ni bora.

Halafu hivi hauwezi kabisa kuchangia bila kutumia ligha zisizo na staha? Hivi ndio watu waliofunga wanavyofanya?
 
Hizi lugha sio za staha na zinaharibu mada yetu. Hii ndio sababu mimi naona kidini hii kukaa njaa mchana halafu ule usiku haina manufaa.
Staha unaijua we takataka ya kigalatia mla nyama chafu ya nguruwe.

Ungekuwa na staha wala usingeleta mada yako ya kuchokoza imani za watu wasiokuhusu.
 
Hizi lugha sio za staha na zinaharibu mada yetu. Hii ndio sababu mimi naona kidini hii kukaa njaa mchana halafu ule usiku haina manufaa.
Ukija hovyo nakurudia hovyo. Wewe uzi wako mbona wa kejeli? Kama unaona sio staha kafie huko kafiri wewe. I didn't tell you anyway.
 
Maskini pole shosti naona unahadithia yaliyokupata
Binti mimba ya uzeeni alipigwa mama ako ukazaliwa wewe takataka unayejiita numbisa.

Dalili ni kukosa akili.

Si unajua watoto wanaozaliwa uzeeni wengi hawana akili kama wewe.

Wengi wanakuwa na mawazo machafumachafu kama yako.
 
Naelewa hilo na ni jambo ambalo lipo kiafya na kisayansi zaidi.
Kwahiyo point yako unamaanisha wanaofanya tofauti na hapo wanakosea?
Wanaofanya kwa namna mbalimbali hasa wale wanaoshinda mchana na njaa halafu wanakula usiku wanakosea sana kiafya. Usiku mtu hapaswi kula chakula kingi hasa kuanzia saa moja jioni.

Mimi haya ni maoni yangu kwa mujibu wa miongozo ya kiafya na sipingani na imani ya mtu yoyote.
 
How do you know waliofunga ndio wanavyofanya? Are you sure mimi nafunga? I'll deal with you perpendicularly....wewe ikikuuma kashitaki kwa mods. Ban kwangu haijawahi kuwa adhabu na siogopi.
 
Khe na mimba kubwa hivyo bado una genye aiseee shosti punguza mishikinizo
Well, are you happy now?
Hebu mwambie mmeo akutie kimoko ulale kwanza. Ironically unaonesha umemiss kutiwa. Tell your bf by your side to do you a favor. It's not bad.
 
Teeh teeh.

We mgalatia na staha wapi na wapi!

Unaanza kunipangia kipi cha kuandika na kipi sio.

Huna mamlaka hayo.

Mimi ntaendelea kukupiga nyundo mpaka akili ikukae sawa we mla nyama chafu ya nguruwe.

Umejishibia nyama yako chafu ukaona uje uchokoze waislamu.

Sisi tutakupiga nyundo hivyohivyo.
 
Staha unaijua we takataka ya kigalatia mla nyama chafu ya nguruwe.

Ungekuwa na staha wala usingeleta mada yako ya kuchokoza imani za watu wasiokuhusu.
Nalielewa vyema tatizo lako. Fanya ufunge siku saba. Utapata utulivu na hekima.
 
Unataka usipangiwe cha kuandika lakini uwapangie watu kitu cha kula?
 
Maskini pole shosti naona unahadithia yaliyokupata
Teeh teeh binti kilichonipata ni kukushugulikia mmwagika damu chafu kila mwezi kama wewe na kukukata kidomodomo chako kinachotema uchafu.

Na kadri unavyoendelea kuja kuropokaropoka na kokote ntakapokuona unaleta shobo na uislamu lazima nkushughulikie mpaka akili ikukae sawa japo ni kazi kubwa sababu ulizaliwa ukiwa zezeta.

Sawa binti kafiri wa kigalatia?
 
Ni kupindua tu ratiba ya kula, juu chini, chini juu.
 
Uovu kwa nini uache tu pale unapofunga?
Maovu muda wowote unatakiwa uache, ila ukifanya uovu mwezi wa Ramadhani ubaya wake unakuwa mkubwa sana na ukifanya wema unalipwa maradufu. Huu ndiyo utaratibu alio uweka Allah kwa waja wake.
 
Sasa kwanini mnawaonea wivu wanaokula mchana hadi mnapiga marufuku migahawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…