Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Teeh teeh binti mbona una shobo sana.
Yani ujaombwa ushauri unajifanya unatoa ushauri!
Huu ni usomi wa wapi?
Jifunze ku deal na yanayokuhusu.
Nyie mbona mnafakamia nyama za nguruwe na zina madhara kemkem lakini amuachi licha ya kuelezwa ukweli.
Jifunze kudeal na yanayokuhusu.
Ukiwa huna la kufanya kakikumbatie hata kile kisanamu chenu mnachokiabudu uji keep busy.
Sawa binti?
Siyo wote wanakula nyama ya nguruwe!
Wengine hupokea ushauri na kuzitafakari kisha kuona Mbona Kuna vitoweo mbadala vya aina mbali mbali kwanini nilazimike kula nguruwe ambao hata madaktari wa sua wamesema zina minyoo hatari?!
Ingawa wanaokula wengine wana sababu zao pia!
Lakini watakwambia wachina wanakula nguruwe na wachina hufanya tafiti za kisayansi kwanza.
Sema wachina anakula nguruwe halafu anakula mitishwmba ya ku-regulate isimzuru mwili.
Sisi waelewa hata ulete challenge za vipi huwa tunazipokea, tunachukua muda kutafakali na kuona kama kuna mantiki au tuachane nazo bila kumhukumu yule anayezileta hizo challenges au ushauri.
Na hiyo Ndiyo huitwa maturity in psychology [emoji108][emoji108]
Wewe lete ushauri juu ya jambo lolote lile kuhusiana na mada itakayokuwepo, challenge it kadiri uwezavyo, wenye mtazamo chanya tutaisoma, tutatafakali, tutapima kuona kama inafaa kama haifai tunaachana nayo bila kumshambulia mtu yule aloleta binafsi.