Unasemaje kuwa umefunga wakati kila jioni unakula?

Unasemaje kuwa umefunga wakati kila jioni unakula?

Salamu kwenu

Huwa siwaelewi watu wanaposema wanafunga wakati kila siku jioni wanakula.

Ninawafahamu watu wengi tu wanaofunga mpaka siku 21 kwa kunywa maji tu na kila siku wanaendelea na shughuli zao.

Mimi mara nyingi tu naenda mpaka siku saba bila kula na kazi nafanya kila siku.

Nadhani wanapaswa kutumia jina jingine lakini sio kufunga.
Nimesoma post hii yote na comment zako ulizokua unawajibu watu nimegundua kuwa wewe huna elimu ya maana ya funga kwa waislamu.

Funga lengo lake sio kushinda njaa, na ndomana dini imetulazimisha kuwahi kufuturu jua linapozima tu na tusichelewe.

Funga maana yake ni kumkumbusha mja jukumu lake la kumuabudu mwenyez mungu, kwasababu binadamu tuna tabia na asili ya kujisahau sana. Kukaa na njaa siku nzima ni kumfanya mja atambue umuhimu wa sadaka na zaka kwa wenziwe wasio jiweza, kwani kun watu ni kawaida yao kushinda siku nzima na njaa kila siku kutokana na ugumu wa maisha.

All in all, point sio kukaa na njaa siku nyingi, sijui kama unavosema apo kutokula mfululizo siku 40 hiyo haina maana yeyote kwanza wewe ni muongo mtu hawezi ishi siku 40 kwa kunywa maji tu, na istoshe usianzishe tafarani kabla hujauliza kwanza kwa wanaofahamu.

Aya endelea kukaa na njaa siku zako 40 kama unafkiri ndo uchamungu.
 
It's a matter of different perspectives and perceptions.
Binadamu anaishi kwa hivyo vitu viwili ili kupata maana nzima ya maisha.

No one knows kuhusu kulala njaa usiku ni "kufunga." hakuna makubaliano hayo na hakuna makubaliano ya mtu mmoja.
No one knows about it so that's up to you.
Sasa tofauti ya wanaofunga usiku na wanaofunga mchana ni ipi? Mbona hawa wa mchsna mbwembwe nyingi?!
 
Wakifunga waislam tabu kweli walivyoanza wengine kwaresma nyuzi kama hizi hazikuepo
Ukiona hivyo ujue kuna shida pahala..kama ile ripoti ya profesa mayele..na swaga zake za mavi na mikojo ya ng'ombe.

Wenye akili atajua tu kuna kekundu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sijaona mahali mtoa mada kataja dini yoyote ila nashangaa kuna watu wamepanik utadhani ni wao peke yao ndio wanaofanya hicho kitendo hapa duniani.Mtoa mada katoa mawazo yake kwasababu ukweli ni kwamba watu wote wanaofanya icho kitendo mchana usiku huwa wanakula kwahiyo inakua haina tofauti na jinsi ambavyo kikawaida huwa tunakula mchana alafu usiku hatuli.ndo maana anaona nisawa na kubadilisha tu ratiba ya kula.Kwa hali hiyo hata ukikiweka hicho kitendo kwa minajili ya aidha afya au dini bado unaona kuna kitu hakijakaa sawa kwasababu mambo bado yanabaki kua vile vile ni muda tu ndio unaobadilika.
Kama haujagundua mtoa mada kawalenga watu gani basi either una mtetea mtoa mada na unakubaliana nae.

Au ubongo wako una changamoto ya kutafsiri taarifa na kuzielewa , it's clearly kabisa bandiko linawahusu waislamu kwa sababu ndio waofunga mchana na kula usiku.

Pole kama haujagundua
 
Naona umekurupuka acha kujishtukia kama umetiwa doko. Tupo kwenye mifungo miwili muda huu na mleta mada hajataja mfungo upi. Mnajishtukia na kukasirika bure.

Sijataja pia dini ya mtu hapo

Ila ukisikia yalaaa limekupata

Kinyelo chako
Mada kama hizi zinakuja kila Ramadan ikiingia ,kama haujagundua kawalenga nani nikupe pole ubongo wako una hitilafu ya kutafsiri taarifa
 
Salamu kwenu

Huwa siwaelewi watu wanaposema wanafunga wakati kila siku jioni wanakula.

Ninawafahamu watu wengi tu wanaofunga mpaka siku 21 kwa kunywa maji tu na kila siku wanaendelea na shughuli zao.

Mimi mara nyingi tu naenda mpaka siku saba bila kula na kazi nafanya kila siku.

Nadhani wanapaswa kutumia jina jingine lakini sio kufunga.
Hawa ni wasanii tu, masheikh kibao huko mitaani wanafakamia nguruwe, chakula kitakatifu.
 
Sasa tofauti ya wanaofunga usiku na wanaofunga mchana ni ipi? Mbona hawa wa mchsna mbwembwe nyingi?!
Simple sababu wanaofunga mchana ndio wanaojulikana kwamba wao wanafunga.
Hivyo ndivyo inavyojulikana globally, ukikataa na kupinga means unajua lakini unafanya on purpose.
 
Simple sababu wanaofunga mchana ndio wanaojulikana kwamba wao wanafunga.
Hivyo ndivyo inavyojulikana globally, ukikataa na kupinga means unajua lakini unafanya on purpose.
Hawa wanaofunga mchana wana matatizo sana. Wanakula daku alfajiri halafu ikifika saa tisa mchana wanataka tena huku maofisini watoke eti wakaandae futari

Yani mwezi mzima kwa siku mawazo yote yapo kwenye vyakula. Zaidi ya masaa 16 wanawaza na kufanya mambo ya kula huku wakisema wamefunga. Ni ajabu.
 
Simple sababu wanaofunga mchana ndio wanaojulikana kwamba wao wanafunga.
Hivyo ndivyo inavyojulikana globally, ukikataa na kupinga means unajua lakini unafanya on purpose.
Kisa huujui ugali kama ni chakula inafanya ugali usiwe chakula? Kufunga ni utaratibu wa maisha, na kiasili binadamu wengi tu hufunga kila siku, shida ni pale ratiba ya kufunga inapopinduliwa miguu juu nankichwa chini tena kwa mbwembwe, hiyo ni mbaya sana kiafya, maana usiku mtu hupaswi kula sana maana unaenda kulala. Tujali afya zetu.
 
Mtu unajiita choko.

Teeh teeh ushoga nje nje.
Unajua maana ya jina hilo???!🙄🙄🙄 google ujifunze kuandika kiazi wewe, nikuambie tu mimi ni basha mzuri sana kwa watu kama wewe nikimaliza yangu nafunga na kijiti kabisaaa
 
Unajua maana ya jina hilo???!🙄🙄🙄 google ujifunze kuandika kiazi wewe, nikuambie tu mimi ni basha mzuri sana kwa watu kama wewe nikimaliza yangu nafunga na kijiti kabisaaa
Basha unajiita choko.

Njoo kwa sisi wavaa misuli tukufundishe ubasha mtoto rojorojo wewe.

Kidume kizima unajiita choko na unafurahi kabisa kuchokolewa halafu unabana pua ooh mie basha mzuri.

Kama wewe basha mzuri acha kujiita choko na kuchokolewa.

Sawa kijana choko.
 
Back
Top Bottom